Skip to main content

MUNGU YUPO KARIBU YAKO

NENO LA SIKU
"Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
"ISAYA 55:7_8
Mungu  yupo karibu na wewe zaidi ya nguo uzivaazo.Ukitaka akusikie wewe acha dhambi na urejee kwake nae atakusamehe kabisa.
MUNGU YUPO KARIBU YAKO, KAMA HAUTAKUWA NA DHAMBI.


Comments

  1. Hilo andiko linapatikana wapi,,Mungu yupo jaribu kulikon mavazi?

    ReplyDelete
  2. Sio kweli kwamba tukiacha dhambi ndio Mungu atatusikia,Biblia inasema tungali wenye dhambi Mungu alimtoa mwanawe kwaajili Yetu .alitupenda hivyo hivyo tukiwa wachafu ,wenye dhambi. Ila ukweli ni kwamba Kama tukiamini kwamba Mungu alimtoa kristo kwaajili ya kufuta makosa Yetu tutakuwa watoto wake .Mungu amekwisha kutusamehe, ni sisi kukubali na kuupokea msamaha ulio katika kristo Yesu ambao Mungu ameuachilia.

    ReplyDelete

Post a Comment