NENO
LA MWEZI
NA
SUBIRA MLAGA
"Linda
moyo wako kuliko yote uyalindayo; maana ndiko zitokako chemchem za uzima. MITHALI
4:23
Moyo
usipolindwa mtu anapata hasara mara
mbili kiroho na kimwili.
Kiroho
moyo wa mtu huyu utahifadhi mambo mabaya kama chuki, hasira, mawazo mabaya, kutokusamehe
n.k.
Lakini
kiwili moyo wa mtu huyu usipolindwa na vyakula hatarishi kama sukari na mafuta
moyo utadhulika pia.
Leo
kumbuka kuulindwa moyo wako kuliko unavyolinda mke/mme,watoto na mali zako.
LINDA
MOYO, UEPUKANE NA UKIRO (UPUNGUFU WA KINGA ROHONI)
Comments
Post a Comment