NENO
LA SIKU
"Basi
nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari,ili awakweze kwa wakati
wake"1PETRO 5:6
Kuna
muda Mungu ameeuandaa wa kukuinua, endelea kunyenyekea mbele zake.Ukishindwa
kuungoja wakati wa Mungu ukajiinua mwenyewe Hautafika mbali.
HATA
SASA BADO NANYENYEKEA KWA MUNGU.
Comments
Post a Comment