Skip to main content

Posts

Showing posts with the label YOPOCODE

ONDOKANA NA UTUMWA HUU

Nikusihii kitu kimoja mpenzi msomaji wa makala hizi za YAPOCODE TANZANIA kwamba maisha ambayo unaishi muda mwingine jua ni kwasababu ya utumwa ambao umeujenga katika fikra zako.Huu utumwa ambao umeujenga katika akili zako ni utumwa ambao umekufunga kufikiri vizuri juu ya maisha yako,ni utumwa ambao umekufanya kujiona huna thamani mpaka mtu flani akufanyie kitu flani ndipo ujione kwamba unathamani katika maisha yako.Mpaka lini utaogopa kufanya unachotaka kukifanya kwasababu mtu flani kafanya kitu kama kacho ambacho unaogopa kukifanya,lini utaacha uwoga wa kuwa mtu mnyenyekevu hata kwenye sehemu ambazo zinahitajjuhudi zako kuwa zaidi ya unyenyekevu sehemu ambazo sio? lini utasema sasa najijenga mwenyewe na niweze kuwa zaidi ya leo nilipo?. Nakusihii usiache utumwa wako wa kifikra kuacha lulu iliyoko ndani yako kupotea,usiache utajiri ambao uko ndani yako kupotea.leo hii anza na jitahidi kufanya kile ambacho unaogopa kukifanya lakini unajua kabisa kwamba ni kitu chema katika maisha ...

YOPOCODE TRAINING CENTER

PRE FORM ONE 2017/2018 S hirika la vijana Tanzania la ” YOPOCODE)” linakuletea KOZI maalumu kwa vijana wahitimu darasa la saba 2017 ( PRE FORM ONE ). KOZI hii MAALUMU KWA wahitimu darasa la saba 2017 kwa masomo ya sekondari na kuwajengea uwezo KUYAMUDU MASOMO YA SEKONDARI.KOZI itaanza 10/09/2017 hadi 20/12/2017 . KOZI ITATOLEWA MANEO YAFUATAYO. na Jina la kituoa Mahali kilipo Tarehe ya kuanza mafunzo mchango 1 ilembo Ofisi za yopocode 10/09/2017 10,000/= kwa mwezi 2 isuto godauni 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi 3 santilya Majengo ya klasta 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi 4 iwiji SHULE YA MSINGI IWIJI 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi NB; KOZI ITAAMBATANA NA MAFUNZO MBALIMBALI IKIWEMO, MICHEZO NA BURUDANI, AFYA, SANAA NA UTAMADUNI, BIASHARA, UJASIRIAMALI NA KILIMO ILI KUWAJENGEA VIJANA HAMASA KWA VIJANA KUSHIRIKI SHUGHU...