HATUA ZA MSINGI ZA KUKUSAIDIA KATIKA KUPANGA AU KUWEKA MALENGO
YAKO;
ü
Fanya maamuzi ya dhati kutoka moyoni
mwako katika jambo au kile unachotaka kitokee kwako au kwa taasisi yako.
ü
Andika Malengo yako na uyapangilie
vizuri
ü
Weka muda wa kuyafikia malengo yako
ü
Vijue vikwazo au changamoto
zinazoweza kukuzuia kuyafikia malengo yako
ü
weka mikakati bayana kuyafikia
malengo yako
ü
Bainisha watu unaweza kuwashirikisha
katika malengo yako na siyo kila mtu wengine wanaweza kukukatisha tamaa.
ü
Panga ratiba yako vizuri na anza
kufanya hatua kwa hatua ni kupima Malengo yako.
ü
Weka vipaumbele
ü
Gawa vipaumbele
ü
Chagua lengo la kuanza nalo
ü
Jenga nidhamu na uaminifu kwa Malengo
yako.
ü
Pata picha ya kuyafikia malengo yako
Oflexbalconsza Erika Wiggins Here
ReplyDeleteerchosharzbotc