Skip to main content

Posts

Showing posts from 2017

NAPENDA KUFUGA KUKU SEHUMU YA TANO

SEHUMU YA TANO Habari Rafiki mfuatiliaji wa makala za Napenda Kufuga kuku karibu sana tuweze kujifunza pamoja mambo mazuri kuhusu ufugaji, lengo la makala hizi za napenda Kufuga kuku nikukupa Elimu sahihi kuhusu ufugaji wa kuku na faida na masoko ya mazao ya ufugaji karibu sana, MBINU ZA MASOKO KWA WAFUGAJI  Habari  Rafiki, Leo nimependa kuzungumzia swala la masoko ya mazao ya ufugaji kama unavyojuwa tunafuga na mwisho wa siku lazima tuingize mazao yetu sokoni, kumekuwa na changamoto kubwa kwa wafugaji wengi katika kupeleka mazao yao ya mifugo sokoni, wengi wananipigia simu wananiambia wanamazao ya mifugo lakini hawajuwi wapi watauza kuku wao wengine wananiambia wanamayai hawajuwi watawauzia wapi hii imekuwa changamoto kubwa kwa wafugaji wengi, Leo nimeona nije na mbinu au kanuni ambayo inanisaidia Mimi na huwa inawasaidia watu wengi pia katika kufanya biashara zao za kuku na mawayi na wamekuwa wanafurahi sana kwasababu soko ni kubwa na mafanikio ni makubwa, wewe ambaye um

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA TATU

*NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA TATU Habari rafiki na mfuatiliaji wa makala hizi za *napenda kufuga KUKU* karibu sana tujifunze zaidi Yale mambo mahimu yatakayotusaida katika ufugaji bora wa KUKU, AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE Kuna AINA mbalimbali za KUKU ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila AINA inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shuughuri hii ya ufugaji, hivyo Leo nimekuletea  makundi makuu manne ya KUKU ambayo tunayafuga hapa Tanzania ✍ KUKU WA NYAMA   hii ni moja ya kundi la KUKU ambalo linafugwa sana hapa nchini na kuku hawa wanafugwa kwa malengo ya kuzalisha nyama tu,   Uzalishaji wa KUKU hawa wanachukuliwa KUKU wazazi kutoka nje ya nchi na kuhifadhiwa sehemu maalumu kwaajiri ya kuzalisha Mayai na Mayai yanatotoreshwa na kupata Vifaranga kwaajiri ya nyama , FAIDA YA KUKU HAWA Faida ambayo utaipata kama mfugaji nikuwa KUKU hawa hufugwa kwa mda mchacheche mda wa miezi miwili au mitatu na kuuzwa kwaajiri ya matumizi ya nyama, hivyo nisehemu nzuri y

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA PILI

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA PILI Habari za Asubuhi rafiki, Karibu sana katika kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu ufugaji bora wa kuku, lengo KUU la makala haya kukupa Elimu iliyosahihi kuhusu ufugaji , Na mambo yote ninayoyaandika yanatoka kwenye uzoefu wangu mwenyewe katika ufugaji karibu sana. MAMBO MUHIMU YAKUYAJUWA KABLA YA KUINGIA KWENYE UFUGAJI: Moja ya changamoto kubwa kwa watu wengi tunajiwekea malengo makubwa kila mwaka kwamba nataka kufanya kile na kile ndani ya mwaka huu lakini kila siku bado unashindwa kuanza hii inatokana na changamoto mbalimbali za hapa na pale lakini sababu kubwa ni kokosa hamasa yandani juu ya kile tulichokiwekea malengo na hii inapelekea kila mwaka kuwa na malengo yaleyale bila kupiga hatua na kwenye upande wa ufugaji mambo ni hayo hayo kila siku natama kufuga natamani kufuga huku tukiendea kuimba wimbo usiokuwa na vitendo, nini ninachotaka kukwambia rafiki Asubuhi hii ya Leo  unahitaji kuchukua hatua chukua hatua sasa nasiyo kusubili su

*NAPENDA KUFUGA KUKU*

*NAPENDA KUFUGA KUKU*                                         Habari rafiki, karibu katika makala ya siku hii ya Leo makala ambayo itakuwa inakufikia mala kwa mala kwalengo la kukupa elimu bora ya ufugaji wa kuku kutoka hatua yakwanza hadi ya mwisho karibu sana         KWANINI UFUGAJI WA KUKU.                                  Ufugaji wa kuku ni secta ambayo inakuwa kwa kasi sana hapa nchini nasasa imekuwa ni sehemu ya ajira kwa watu wengi, ufugaji kwasasa umekuwa ukifanya vizuri sana kwakuwa na soko nzuri kwa ndani ya nchi yetu na hata nje ya nchi, Ufugaji umekuwa sehemu nzuri ya ajira kwa watu wengi na imekuwa kazi rasmi kwa watu wengi, Ufugaji umekuwa ni sehemu nzuri ya uwekezaji unaompatia MTU kipato makumtimizia malengo yake katika maiaha, Ufugaji umekuwa ni rahisi kufanya Na unafanyika katika maeneo yeyote mjini au vijijini, licha yakuwa Ufugaji wa KUKU kuwa Na faida nyingi pia Ufugaji wa kuku umekuwa na changamoto zake ambazo zinawafanya wafugaji wengi kukata tamaa katika

YOUNG PEOPLE IN TANZANIA(YOPOCODE)

u    Young people constitute a large and rapidly growing proportion of the population in most countries of Africa and in many parts of the world as a whole. Youth in Tanzania form important part in the community and have great Impact on national development strategies and policies. u   The Tanzania National Youth Policy defines young people as persons aged between 15-35 years. This definition is broader than that of United Nations (UN), which is 15-24 years. The policy definition is in line with the provisions of the African Youth Charter (2006). u   Young people aged 15-35 years make up 34.7% of the total population in Tanzania as per the 2012 National Census. Youth live in a rapidly changing world, faced with many pressures. They face challenges such as Unemployment, illiteracy, ignorance, sense of hopelessness and inequality that act an as hindrance to utilize their potentials for community development. u   However, the government of Tanzania in cooperation with local and I

SASHA ORGANIZATION SPONSORED YOPOCODE EVENING GATHERING

SASHA ORGANIZATION A movement establıshed to develop the dısadvantaged groups ıncludıng women, chıldren and dısabled ones.Our main focus is to reduce the load that women carry in the society. This include the work load, the distance to access water and health services, raising sound children and the economic burden especially after divorce or death of the male partner. VISION A community where basic needs are accessible MISSION To minimize the gap to access to the basic needs by organized efforts to establish centres for social, educational and economic empowerment. CORE VALUES       Humanity       Involvement       Sustainability WHAT WE DO u      Seminars on awareness on various social problems and designed solutions u      Motivate students on best performance u      Trainings on study techniques, career development and development of reading culture u      Trainings and pitching to the youths and women on economic development u      Support to orphan

KIKUNDI CHA DANSI CHA TOP IN SONGWE ARTIST GROUP

            KIKUNDI CHA DANSI CHA TOP IN SONGWE ARTIST GROUP              KIKUNDI CHA DANSI CHA TOP IN SONGWE ARTIST GROUP              KIKUNDI CHA DANSI CHA TOP IN SONGWE ARTIST GROUP

MAIN GOAL OF BINTI AMKA TANZANIA

MAIN GOAL OF BINTI AMKA TANZANIA  Project goal is through communication and the exchange of experiences, motivating, educating and encouraging young women/girls to reach their goals in educations, economics and politics. TARGET GROUPS OF THE PROJECT CAMPAIGN This project established to save the young women/ young girls , a t the Domestic and Streets, Primary Schools, Secondary School, Universities and Colleges and City’s. This planned project has been designed to ensure the campaign  increases its status and continuous to grow on all levels. TARGETED OBJECTIVES OF BINTI AMKA TANZANIA CAMPAIGN 1. Educate girls: Ensure that girls have access to quality education and complete schooling at the levels of their dreams. 2. Improve health: Ensure that girls have access to age appropriate health and nutrition information and services, including life skills ‐ based Sexuality education, HIV prevention, and sexual and reproductive health. 3. Keep girls free from violence: Prev

KUMBUKUMBU YA MATUKIO 2016

KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA

MATUKIO NA PICHA SIKU YA UZINDIZI WA KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA  KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA  KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA  KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA  KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA

MATUKIO NA PICHA SIKU YA UZINDUZI OFISI ZA YOPOCODE MBEYA