NENO
LA SIKU
"BWANA,
kama wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna
msamaha Ili Wewe uogopwe."ZABURI 130:3_4
Mungu
wetu ni tofauti na mwanadamu hata ukikosea hahesabu maovu yako. Mwanadamu
ukimkosea atakukumbusha kuwa uliwahi kukosea tena kabla hata kama lile kosa la
mwanzo ulishaomba msamaha. Lakini Mungu wetu unapoomba msamaha, anakusamehe na
hahesabu dhambi zako za mwanzo.
OMBA
MSAMAHA MBELE ZA MUNGU PALE UNAPOKOSA.
Comments
Post a Comment