Skip to main content

Posts

YOPOCODE TANZANIA

SAJILI NGO YAKO TANZANIA

SAJILI NGO YAKO TANZANIA
Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili
NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika  la Bima, Shirika la  Nyumba, Shirika  la Umeme, mashirika ya vyakula n.k.   Tunapozungumzia NGO maana yake ni kuwa ni mashirika ambayo kwa namna yoyote ile Serikali haihusiki na umiliki wake. Ni mashirika ambayo humilikiwa na watu binafsi.  Serikali huweza kushirikiana nayo tu, lakini si kuyamiliki. Taratibu za uanzishaji, usajili na uendeshaji huratibiwa bayana na Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002.
1. YAPI YAWE MALENGO YA KUANZISHA NGO Malengo makuu ya kuanzisha NGO yawe ni kusaidia makundi au kundi maalum katika jamii. NGO siyo shirika la biashara.  Siyo kampuni ambayo muanzishaji  wake hutarajia kutengeneza faida. NGO ni shirika la hisani. Ni shirika la kujitolea kusaidia makundi jamii. Usitarajie kuanzisha NGO k…
Recent posts

MARIAM KILYENYI

Tunapozungumzia waambaji wa nyimbo za injili wanaofanya vizuri sana Tanzania, tusisahau huyu Binti yetu @Mariam Kilyenyi ANAENDA KUFANYA UZINDUZI MKUBWA WA ALBAMU YAKE 02/12/2018 KKKT SINZA KUMEKUCHA
#Malkiawamoyowaupendo
#mamawahaki
#BintiAmkaTanzania
#Dirayakijanatanzania
@MariamKilyenyi
https://www.instagram.com/p/BqHqvUagooy/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=i5c6b2btxpc1

ENDELEA KULIPA GHARAMA ZA KUTIMIZA NDOTO ZAKO

ENDELEA KULIPA GHARAMA ZA KUTIMIZA NDOTO ZAKO

Kila ukitazama ndoto ambazo umetimiza ni jambo gani linakujia katika tafakari yako?

Najua yapo mambo mengi ambayo unakumbuka, jinsi ulivyopambana kuhakikisha unapata hicho ulichokipata. Kuna gharama ulilipa na kwa baadhi ya watu walikuona kana kwamba unacheza. Ndivyo ilivyo, unapojua kile unachokitaka usisubiri watu waseme kuwa ni wazo zuri bali wewe jiamini kuwa hiki ninachokifanya ni sahihi na nitapata matokeo chanya.

Jambo lolote zuri kwenye maisha hupatikana kwa kupambana zaidi.

Najua Januari 2018 ulijipangia malengo ya kutekeleza mwaka huu. Lakini kila ukiangalia kwenye daftari lako huoni chochote ambacho umefanya au umepambana lakini hakuna matokeo uliyotarajia kupata.

Unapoona kuwa hujatimiza malengo yako, ni nini unafanya? Unakata tamaa? Hapana ni kujifunza tu mahali ulipokosea ili kuandika historia mpya kwenye maisha yako.

1. Usiichoke safari ya maisha yako

2. Endelea kujifunza kwani hakuna jambo linaloshindikana

3.Endelea kulipa …

THAMANI YA CHANGAMOTO.

THAMANI YA CHANGAMOTO.

NGUVU YA HISIA .

Series 05.

Saul Kalivubha.


Hisia ni sehemu ya binadamu aliye kamili , na hisia ni sehemu ya AFYA , ...lakini kuna NGUVU YA AJABU SANA iliyomo ndani ya HISIA , nayo ni UWEZO WA KUFANYA UPOFU .

 Unapoanza kusukumwa na HISIA ,utafanya maamuzi , mwisho wa siku maamuzi hayo yataleta MATOKEO ,....NGUVU iliyomo ndani ya HISIA NI KUKUFANYA KIPOFU , USIONE ATHARI ZA MATOKEO zitakazotokana na MAAMUZI YA HISIA.

Hali hiyo ndio inafanya watu wengi wajutuie maamuzi ya HISIA  waliyoyafanya huku wakiamini ni sahihi kwa wakati ule ,lakini leo wanaishi MATOKEO yanayowaumiza.

TIBA: HISIA hushawishi MAAMUZI, jitahidi  sana ufahamu athari za maamuzi kabla na HISIA isiwe ndio sababu ya kwanza KUKUFANYA UAMUE .


http://kalivubha.blogspot.com/2018/02/mambo-matano-muhimu-kabla-ya-biashara.html?m=1

Facebook na instagram , tembelea kurasa zetu za FIKIA NDOTO ZAKO.

   FIKIA NDOTO ZAKO.
       0652 123707.

HOW TO BE A COMEDY WRITER

JAMII 100; Vichekesho na Ucheshi katika sura ya biashara ya kale iloanza kukua toka zamani na itazidi kukua kadri muda uendavyo.

Mambo ya kuzingatia; Vichekesho ni fursa kubwa kibiashara na imetengeneza wafuasi wengi kwa maana kucheka ni moja ya tiba na kuipa akili utulivu.

Kitabu; HOW TO BE A COMEDY WRITER, Secrets from the inside by Marc Blake ( Namna ya kuwa mwandishi wa vichekesho, siri kutoka ndani )

Vitimbi, Mizengwe, Futuhi, Joti Tv, Ze komedi, Cheka tu, Churchill show, Omondi, Mc Pilipili ni moja ya picha kubwa kwa namna gani vichekesho au ucheshi ulivyofanya maisha ya watu wengi wapende kufuatilia na kufurahi wasikiapo au wakitazama. Kucheka kuna raha yake na tunaona namna hata mwili huwa katika utulivu pale ambapo unakutana na kitu cha kukufanya ucheke. Je umewahi jiuliza kwanini watu hucheka ?, nini kinachowasukuma watu walipe na hata kuhudhuria majukwaa ya ucheshi. Inawezakana ikawa ni zoezi gumu kuelezea kwa maneno lakini ucheshi au vichekesho vinakufanya ujisikie vizuri …

HII PIA NI SABABU

HII PIA NI SABABU

Yapo mambo mengi yanayosababisha ndoto kutotimia kwa watu wengi. Lakini hii ya kutokujua unataka nini hasa ndiyo sababu inayopelekea watu wengi kufanya vitu vingi na kuviacha havijatimia. Tunapokaribia mwishoni mwaka, kipindi cha tathimini binafsi ya mwaka mzima unajikuta huna ulichotimiza ila una mengi ambayo januari mpaka novemba umeacha na kuishia njiani.

Kujua nini unataka katika safari ya maisha yako utapelekea kupigania nakuhakikisha unatimiza adhima hiyo. Watu wengi hawajui nini wanataka hivyo hata wanapojiwekea malengo yao bado hawanauhakika kama ni kweli ndicho wanachokitaka. Mwanajeshi anapokosa shabaha vitani na kumimi tu risasi sehemu ambayo adui hayupo, humaliza risasi zake na huwa katika hatari ya kipigwa na adui.

Nini tunajifunza hapa:::
1. Jua unataka nini kwenye maisha haya unayoishi

2. Chukua kitu kimoja kifanye kwa muda mrefu mpaka pale utakapo pata matokeo chanya. Endelea kung'ang'ania usiwe mwepesi kukata tamaa.

3. Pasipo maono watu huang…

SAJILI NGO YAKO SASA.

Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/IqsKWrZF0GH9UIN9bhLAxV

SAJILI NGO YAKO SASA.

🇹🇿Taratibu za uanzishaji, usajili na uendeshaji wa NGO huratibiwa bayana na Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002.

1. YAPI YAWE MALENGO YA KUANZISHA NGO
Malengo makuu ya kuanzisha NGO yawe ni kusaidia makundi au kundi maalum katika jamii. NGO siyo shirika la biashara.  Siyo kampuni ambayo muanzishaji  wake hutarajia kutengeneza faida. NGO ni shirika la hisani. Ni shirika la kujitolea kusaidia makundi jamii. Usitarajie kuanzisha NGO kwa ajili ya kutengeneza faida ya fedha.

2. MGAWANYO WA USAJILI WA NGO
Usajili wa NGO umegawanyika katika makundi makuu manne. Kwa mujibu wa sheria, mgawanyo huu umelenga maeneo ya kijiografia. Hata hivyo, ada za usajili na mambo mengine muhimu katika usajili hutegemea mgawanyo huu.
Kwanza,  kuna mgawanyo wa usajili wa ngazi ya wilaya. Usajili wa aina hii huiwezesha NGO kufanya shughuli zake ndani ya mipaka ya wilaya.  Husajil…