Skip to main content

Posts

Showing posts from September, 2017

OBJECTIVES OF “NANENANE FESTIVAL 2018”

OBJECTIVES OF “ NANENANE FESTIVAL 2018 ” The main objective; To make sure that young men have confidence mindset in using their talents as methods of reducing financial crime (poverty, economical drop and underdevelopment), to undertake financial precautions’ for the betterment of their life. ²   To promote educations, sports /games and creative arts to the youths. ²   To create employment opportunities and impart people with entrepreneurship skills to improve life standards. ²   To review and promote cultural development, with a view of eradicating outdated cultural practices. ²   To build strong relationships with organizations that share our aims, thereby further increasing the capacity of young people to build on their skills and aptitudes for their own personal growth and their community’s long term success and development. ²   Bring people together in purposeful, mutually beneficial activities which promote greater understanding and respect between generations and

NENO LA SIKU

NENO LA SIKU. "Ee BWANA,kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,Kwa ajili ya uaminifu wako"ZABURI 115:1 Mungu wetu ni mwaminifu sana katika maisha yetu.Uaminifu huu unatuvuta na sisi tuwe wa aminifu kama yeye Mungu wetu alivyo. Fadhili zake kwetu ni za ajabu sana.Kila salaries BWANA amekuwa akitufadhili.Hata pale ambapo hatukustaili,lakini yeye ametustailisha. Hivyo hivyo ulivyo yakupasa umtukuze Mungu.Kwasababu Mungu amekutendea mambo mengi mema ambayo hayana idadi. MILELE NA MILELE MUNGU WETU NIWAKUSIFIWA.

SABABU ZINAZOPELEKEA FIKRA ZA VIJANA WENGI KUWA HASI

     SABABU ZINAZOPELEKEA FIKRA ZA VIJANA WENGI  KUWA HASI MWANDISHI JOAS YUNUS JYB Kadri binadamu anavyokua anakutana na mazingira mbalimbali .Mazingira ni pamoja na watu tunaokutana nao, vitabu tunavyosoma, mambo tunayoyaona na kusikia . Mazingira huanza kuathiri mtazamo wa kijana wa kuzaliwa nao na kwa bahati mbaya vijana wengi mtazamo wao chanya hubadilika na kuwa mtazamo hasi. Mtu anapokuwa mdogo anapenda kufika mahali fulani lakini kadri anavyoendelea mbele, ndoto zake huanza kuyeyuka kutokana na watu anaokutana nao pamoja na vitu anavyosikia ambavyo hubadili mtazamo wake kutoka chanya kwenda hasi. Wachache wanaokutana na mazingira sahihi ndio hao hufikia ndoto zao na kuwa na mafanikio makubwa. Zipo sababu kadha wa kadha zinazosababisha mtu kuwa na fikra hasi. Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na: ·          Marafiki Vijana wengi wameshindwa kujua kuwa maisha tunayoishi na tutakaoishi yanatokana na watu wanaotuzunguka.Kama unazungukwa na watu wenye mtazamo has

UKITAKA MAMBO YAKO YAENDE VIZURI

UKITAKA MAMBO YAKO YAENDE VIZURI KATIKA MALENGO ULIYOJIWEKEA FANYA MAMBO YAFUATAYO ; A) Imarisha na kujenga mawasiliona mazuri na mahusiano mazuri pia kati yako na watu wanaokuzunguka. Kama ni malengo ya kibiashara jitahidi kuwa na mawasiliona mazuri na wateja wako. Ili kukuza mawasiliona jitengenezee kitu kinaitwa “business cards" yenye mawasiliona yako yote muhimu yaani namba ya simu, email na hata website kama ipo. B) Jijengee tabia ya kwenda na wakati kwa lugha nyepesi unaweza kusema zingatia sana muda wako na ikiwezekana panga ratiba yako mapema. Usipoteze muda wako kwa vitu visivyokuwa vya msingi wowote katika maisha yako. Kila kukicha jiulize nitafanya nini Leo? Na nitaanza na nini?? Na kumalizia nini??? C) Jiamini na kujidai mbele ya maadui zako, hapa namaanisha usiogope changamoto zilizopo katika kile unachotaka kukifanya. Kumbuka Uoga ni adui wa mafanikio yako. Pia Uoga ni udhaifu na ni dhambi kwa watu wanao Amini. Mtu asiyejiamini ni ngumu sana kufanikiwa kati

ILI KUYAFIKIA MALENGO YAKO ZINGATIA YAFUATAYO

ILI KUYAFIKIA MALENGO YAKO ZINGATIA YAFUATAYO u   Muda, muda hauna urafiki na mtu, hausimami labda usimamishe saa yako, haukusubiri ujiweke sawa. Wenyewe unasongambele na haurudi nyuma, kinachotakwa ni wewe kuwa na mpango na ratiba yako u   kuwa na mtizamo chanya , kuwa na malengo na fikiria kufanikiwa na sio kusindwa, siku zote kinacho kwamisha watu ni mawazo hasi na yanatokana na changamoto unazokumbana nayo,jifunze kuwa mvumilivu na mtatatuzi wa changamoto zako, acha kufuata historia na kusikiliza wailioshindwa na wenye wivu kwakuwa watakukatisha tamaa daima ili uendelee kufanana nao . u   kuwa mtafiti penda kukijua unachotaka kukifanya au unachofanya kiundani zaidi na jua faida na hasara zake, utanufaika vip na kwa wakati gan na kina nani watakuwa wateja wako , u   Jitume kuwa na nia ya dhati kwa kile unachokifanya , tumia uwezo wako kia kili na kifikra kuhakikisha unafanikisha lengo lako kuu ambalo ndilo lililo kupelekea kuwa na wazo hilo, siku zote  uvivu ndi adui wa mae

MIKA 6:8

NENO LA SIKU "Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyomema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki,na kupenda rehema na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako."MIKA 6:8 Kila siku Mungu anakuwazia mema, Ndio maana amekuonyesha mema, Mungu anataka utende haki katika kila jambo,na kupenda rehema yamkini kwa kujua au pasipo kujua umeemtenda dhambi.Pia kwenenda kwa unyenyekevu huku ukimuofu yeye na sio shetani wala mwanadamu.

MUNGU YUPO KARIBU YAKO

NENO LA SIKU "Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa. "ISAYA 55:7_8 Mungu  yupo karibu na wewe zaidi ya nguo uzivaazo.Ukitaka akusikie wewe acha dhambi na urejee kwake nae atakusamehe kabisa. MUNGU YUPO KARIBU YAKO, KAMA HAUTAKUWA NA DHAMBI.

OMBA MSAMAHA MBELE ZA MUNGU PALE UNAPOKOSA.

NENO LA SIKU "BWANA, kama wewe ungehesabu maovu, Ee Bwana, nani angesimama? Lakini kwako kuna msamaha Ili Wewe uogopwe."ZABURI 130:3_4 Mungu wetu ni tofauti na mwanadamu hata ukikosea hahesabu maovu yako. Mwanadamu ukimkosea atakukumbusha kuwa uliwahi kukosea tena kabla hata kama lile kosa la mwanzo ulishaomba msamaha. Lakini Mungu wetu unapoomba msamaha, anakusamehe na hahesabu dhambi zako za mwanzo. OMBA MSAMAHA MBELE ZA MUNGU PALE UNAPOKOSA.

NENO LA SIKU

NENO LA SIKU "Basi nyenyekeeni chini ya mkono wa Mungu ulio hodari,ili awakweze kwa wakati wake"1PETRO 5:6 Kuna muda Mungu ameeuandaa wa kukuinua, endelea kunyenyekea mbele zake.Ukishindwa kuungoja wakati wa Mungu ukajiinua mwenyewe Hautafika mbali. HATA SASA BADO NANYENYEKEA KWA MUNGU.

ZAO LA MUHOGO

ZAO LA MUHOGO UTANGULIZI Zao la mihogo ni muhimu  . Hata hivyo wakulima wengi bado wanatumia mbegu za asili ambazo hutoa mavuno kidogo. Jitihada zinafanywa za kusisitiza matumizi ya aina ya kisasa hususan Kiroba ambayo inaukinzani na  ugonjwa wa mihogo uitwao batobato.  Faida ya zao hili ni kwamba hustahmili ukame, mizizi, miti na majani hutumika kwa chakula mbegu na mboga, pia huweza kukaa ardhini kwa muda mrefu bila kuharibika  AINA ZA MIHOGO Zipo aina mbali mbali za mihogo za asili lakini kwa sasa inashauriwa kutumia aina za kisasa ambazo ni: Kiroba na Msitu Zanzibari kwa sababu hukomaa haraka na kutoa mazao mengi. Pia Kiroba inaukinzani na ugonjwa wa batobato wa mihogo. UTAYARISHAJI WA SHAMBA Shamba la mihogo ni vema litayarishwe mapema kwa kukata miti, vichaka kisha tifua vizuri kiasi ya sm 15 hadi 30. Aidha shamba linaweza kutayarishwa kwa kutumia matuta. UPANDAJI NA NAFASI ZA KUPANDIA Mihogo hupandwa pingili zilizochaguliwa kutoka katika mimea iliyokomaa vizuri

KANUNI ZA KILIMO BORA

KANUNI ZA  KILIMO BORA  NA MWANDISHI WETU Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na mipango thabiti inayotekelezeka kabla ya kuanza kufanya kazi yeyote ya maendeleo ni vyema, kuweka mpango kazi ili iwe dira wakati wa utekelezaji. Hivyo wakulima wanatakiwa waweke malengo yao ya kilimo kwa kuangalia Usalama wa chakula na kipato Mipango bora. Ni mipango ambayo inamsaidia mkulima kupata chakula cha kutosha na fedha ili kuondokana na umaskini. Mipango inatakiwa iwe shirikishi kwa kuona kuwa wakulima wana shiriki katika kupanga, kutekeleza,  kufuatilia pamoja na kutathmini. Kuchagua eneo linalofaa kwa kilimo. Kwa kuwa kilimo ni kazi ya kisayansi, eneo linalofaa kwa kilimo liwe na rutuba, mteremko wa wastani, liwe sehemu inayopitika ili kurahisisha usafirishaji wa mazao na pembejeo wakati wa uzalishaji. Uwekaji na utunzaji

KUWA MSHUMAA WENYE MAANA NA FAIDA KWA WENGINE

Zig Ziglar aliwahi kusema kwamba Ukitaka kufanikiwa saidia wengine kufanikiwa na wewe utafanikiwa na mimi nakwambia kwamba Ukitaka kuangaza dunia nzima kuwa mshuma ambao unawasha mishumaa mingine sio kuizima ya wengine. Ukiwa na nafsi ya kutaka mshuma wako tu kuangaza dunia nzima hautafika sehemu yoyote itazima tu na wala hautakuwa na nguvu ya kuangaza mbali.Watu hawatasema kwamba huyu mtu alishawahi kuwasha mshumaa wake hata siku moja. Naomba nikueleweshe kitu kuhusu huu mshumaa, mishumaa nimeivisha taswira ya MAARIFA YAKO, NDUGU, JAMAA, MARAFIKI ZAKO ambao wanakuzunguka. 1. Mshumaa Ni watoto wako Kama hutaweza kuwapa maarifa ya dunia ambayo umeweza kuyaona na kuyatatua hata siku ukiwa haupo hawatatambua uwepo wako. Ila Kama utaweza kukaa chini na kuzungumza nao pindi usipokiwepo watajua kuwa baba au mama walitusaidia kwelii na watu watasema kwelii wale watoto ni wa flani. Watoto wanachohitaji ni zawadi ambayo unayo ndani yako kama ni maarifa basi hauna budi kuwapa pia. 

SABABU ZINAZOCHANGIA WATU KUSHINDWA KUFIKIA MALENGO YAO

TUNAWEKA MALENGO SAWA NA HATUFANIKIWI SAWA, NINI SABABU YA WATU KUSHINDWA KUYAFIKIA MALENGO YAO Duniani kote kila mwishoni au mwanzoni mwa mwaka watu hupanga Malengo mengi sana, tena hupanga Malengo mazuri, ukiyaangalia unaona mafanikio makubwa mbele yao. Na umekuwa ni Utamaduni uliozoweleka sana watu kupanga Malengo kila mwishoni na mwanzoni mwa mwaka. Kwa mujibu wa takwimu Bubu inaonyesha kwamba katika kila watu million moja ambao huweka Malengo, nusu yake huwa wanasahau kabisa ifikapo mwezi machi na robo 3 huishia kusingizia changamoto zinazowazunguka na 1/3 yake ndo huyafikia malengo yao. HEBU TUANGALIE NI SABABU ZIPI ZINAZOCHANGIA HALI HII???? ü         Kukosa nidhamu ya matumizi ya pesa na muda. Utajiri wa kwanza duniani ni matumizi mazuri ya muda/wakati, ukitumia muda na pesa vibaya huwezi kuyafikia malengo yako. ü         Aaina ya marafiki ulionao,     inayoweza kukufanya ushindwe k uyafikia mafanikio yako ni marafiki, hapa nazungumzia marafiki wasiokuwa na tija k

MAMBO 12 UNAYOTAKIWA KUYAFANYA UJANANI.

NIKUKUMBESHE MAMBO KUMI NA MBILI (12) MUHIMU UNAYOTAKIWA KUYAFANYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UJANA WAKO; ²   katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unajijenga kielimu, imarisha misingi kwenye taaluma mbalimbali yaani elimu ya msingi ya darasani na elimu ya stadi za maisha ya mtaani. Jijengee Maarifa makubwa yatakayokusaidia kuhamisha milima yaani changamoto. Pia katika elimu usisahau elimu ya dini, elimu ya afya, biashara, ujasiriamali na mahusiano. ²   katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unapata ardhi au kiwanja chako na uanze kuweka malengo ya kujenga. ²   wekeza kwenye chochote unachohisi au unachoona kinaweza kukuingizia kipato chako, usiogope kuwekeza kwenye fursa ndogo ndogo zinazoweza kukuingizia kipato. ²   katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unaingia kwenye mahusiano ya kweli na ndoa. Unapofikia ujana hakikisha unajijengea mahusiano mazuri, unitumie silaha ya ujana kujiingiza katika mahusiano na kila inayemuona mbele yako.  ²   katika kipindi hiki cha ujana h

NENO LA SIKU

NENO LA SIKU Maisha ya mwanadamu yameawanyika katika nyakati mbalimbali. Katika kila nyakati mwanadamu anamwitaji Mungu. Mhubiri 3:1-8 ameelezea nyakati mbalimbali ambazo mwanadamu anakumbana nazo katika maisha yake. “Kwa kila jambo kuna majira yake, Na wakati kwa kila kusudi chini ya mbingu.Wakati wa kuzaliwa, na wakati wa kufa; Wakati wa kupanda, na wakati wa kung'oa yaliyopandwa;Wakati wa kuua, na wakati wa kupoza; Wakati wa kubomoa, na wakati wa kujenga;Wakati wa kulia, na wakati wa kucheka; Wakati wa kuomboleza, na wakati wa kucheza;Wakati wa kutupa mawe, na wakati wa kukusanya mawe; Wakati wa kukumbatia, na wakati wa kutokumbatia;Wakati wa kutafuta, na wakati wa kupoteza; Wakati wa kuweka, na wakati wa kutupa;Wakati wa kurarua, na wakati wa kushona; Wakati wa kunyamaza, na wakati wa kunena;Wakati wa kupenda, na wakati wa kuchukia; Wakati wa vita, na wakati wa amani.” Ili huyu mwanadamu awe salama  katika nyakati hizi zote anaitaji Neno la Mungu. Neno la Mungu ni muhi

KWA NINI NENO LA SIKU?

KWA NINI NENO LA SIKU? 1.Neno la Mungu linatoa dira ya maisha ya mtu: Ili maisha yako yawe na uelekeo sahihi hunabudi kulijua Neno la Mungu ili likuongoze katika hatua zako za kila siku. “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.”ZABURI 119:105 2.Neno la Mungu linafundisha na kuonya : Maarifa yote ambayo mwanadamu anayaitaji katika maisha yake ya kila siku yanapatikana katika Neno la Mungu. Pia Neno la Mungu lionya na kuelekeza kwa namna gani mwanadamu anapaswa kuishi. “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;”2 TIMOTHEO 3:16 3.Neno la Mungu ni kinga dhidi ya dhambi: Mtu anayelijua Neno la Mungu na kuliishi sawa sawa na jinsi linavyomwelekeza  dhambi hazipati nafasi ndani ya moyo wake.Ni tofauti na mtu ambaye amekariri maandiko pasipo kulijua hayo maandiko yanampasa kufanya nini? “Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.”ZABURI 119:11 4.

WITO NI NINI?

MJUE ALIYEKUITANA KUMTUMIKIA WITO NI NINI? Kila mtu Mungu amemwita kwa nafasi yake amtumikie.Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana. Wito unatokana na kuitwa. Kila mtu Mungu amemwita amtumikie katika eneo Fulani.  Wito : Ni sauti au agizo analosikia mtu likimwelekeza nini cha kufanya.Katika wito wowote ukiwa umeitwa na Mungu atakuelekeza nini cha kufanya.Na unapoitwa na Mungu jitahidi kutenda sawa na wito wako ulivyo. NITAJUAJE NIMEITWA? 1.Utaisikia sauti ya Mungu ikisema na wewe: Kama kuitwa kwa kawaida kulivyo ndivyo mtu uisikia sauti ya Mungu  ikisema nae. Ebu angali mifano ya watu mbalimbali waliowahi kuisikia sauti ya Mungu ikiwaita kwa ajili ya kutekeleza agizo fulani. MUSA kabla ya kuanza kumtumikia Mungu alikuwa mchungaji wa mifugo ya mkwe Yethro kuhani wa Midiani.Katikati ya uchungaji Mungu alimwita Musa.Kumbe ili na wewe umtumikie Mungu unatakiwa uisikie sauti yake ikisema na wewe,Ni hatari sana kama uta

SAMPLE OF CONSTITUTION (TAYOTA)

THE CONSTITUTION TABLE OF CONTENTS: HEAD OFFICE MISSION VISION STATUS AIMS AND OBJECTIVES THE LIABILITY OF MEMBERS. 7.     ACQUISITION OF MEMBERSHIPS 8.     MEMBERSHIP CATEGORIES MEMBERS’ RIGHTS 10.  RESPONSILITIES OF EVERY MEMBER 11.   CESSATION OF MEMBERSHIP  RE-ADMISSION TO MEMBERSHIP  ORGANIZATION  OFFICE BEARERS MANAGEMENT STANDING COMMETTEES EXECUTIVE COMMETTEE MEETINGS THE ELECTION PROCESS IN ELECTIVE OFFICESS. REMOVING AN OFFICER FROM AN ELECTIVE OFFICE. INTERPRETING THE CONSTITUTION. SOURCES OF FUNDS AND OTHER RESOURSES. SIGNATORIES. FINANCIAL YEAR APPOINTMENT OF AUDITORS THE SEAL. DISSOLUTION OF THE ORGANIZATION AMMENDMENT COMMENCEMENT THE CONSTITUTION. The name of the A ssociation is Tanzania Youth Talent A ssociation (TAYOTA) 1.      MISSION Our mission is to offer opportunities to young men to demonstrate and enjoy their talents and efforts in their area of careers on