Skip to main content

KWA NINI NENO LA SIKU?

KWA NINI NENO LA SIKU?
1.Neno la Mungu linatoa dira ya maisha ya mtu:Ili maisha yako yawe na uelekeo sahihi hunabudi kulijua Neno la Mungu ili likuongoze katika hatua zako za kila siku. “Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.”ZABURI 119:105
2.Neno la Mungu linafundisha na kuonya :Maarifa yote ambayo mwanadamu anayaitaji katika maisha yake ya kila siku yanapatikana katika Neno la Mungu. Pia Neno la Mungu lionya na kuelekeza kwa namna gani mwanadamu anapaswa kuishi. “Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki;”2 TIMOTHEO 3:16
3.Neno la Mungu ni kinga dhidi ya dhambi:Mtu anayelijua Neno la Mungu na kuliishi sawa sawa na jinsi linavyomwelekeza  dhambi hazipati nafasi ndani ya moyo wake.Ni tofauti na mtu ambaye amekariri maandiko pasipo kulijua hayo maandiko yanampasa kufanya nini? “Moyoni mwangu nimeliweka neno lako, Nisije nikakutenda dhambi.”ZABURI 119:11

4.Mungu anasema na watu wake kupitia Neno lake: 

Unaweza kumsikia Mungu kupitia njia mbalimbali.
Lakini kupiti kusoma kupitia Neno lakeIli Mungu asemena wewkila wakati imekupasa kusoma Neno

Comments