Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2018

MAADILI YA KUFANYA UTAFITI

SEMINA YA MAFUNZO KWA MABALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA SOMO: MAADILI YA KUFANYA UTAFITI MKUFUNZI NI: Basiliana  Emidi,  PhD Yaliyomo 1. Muingiliano wa kimaadili na washiriki wa utafiti u   Wajibu wa mkusanyaji taarifa u   Umuhimu wa Heshima u   Ushiriki wa hiari u   Ridhaa ya kushiriki katika utafiti u   Watu waliokaribĂș kuathirika na masuala yafanyiwayo utafiti u   Faragha binafsi u   Kuhifadhi kwa usalama taarifa binafsi u   Kujibu maswali ya washiriki }    2. Usahihi wa taarifa za utafiti        Kuheshimu sayansi ya utafiti        Kukusanya, kunakili/kuandika na kuhifadhi taarifa        Ukiukaji wa mwongozo wa utafiti Maadili ni nini? }    Maadili   ni kanuni  adilifu zinazoelekeza tabia zetu katika mahusiano yetu ya kila siku na wenzetu. }    Katika utafiti, maadili  ni uwajibikaji na uwelekevu kitabia kuhusiana na  haki  za wale wote tunaotangamana nao katika utafiti, uwelekevu katika  nia na malengo  ya utafiti na jinsi ya kutumia  ma

SEMINA YA MAFUNZO KWA MABALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA

SEMINA YA MAFUNZO KWA MABALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA SOMO: MAADILI YA KUFANYA UTAFITI MKUFUNZI NI: Basiliana Emidi, PhD Yaliyomo 1. Muingiliano wa kimaadili na washiriki wa utafiti u Wajibu wa mkusanyaji taarifa u Umuhimu wa Heshima u Ushiriki wa hiari u Ridhaa ya kushiriki katika utafiti u Watu waliokaribĂș kuathirika na masuala yafanyiwayo utafiti u Faragha binafsi u Kuhifadhi kwa usalama taarifa binafsi u Kujibu maswali ya washiriki }   2. Usahihi wa taarifa za utafiti       Kuheshimu sayansi ya utafiti       Kukusanya, kunakili/kuandika na kuhifadhi taarifa       Ukiukaji wa mwongozo wa utafiti Maadili ni nini? }   Maadili ni kanuni  adilifu zinazoelekeza tabia zetu katika mahusiano yetu ya kila siku na wenzetu. }   Katika utafiti, maadili ni uwajibikaji na uwelekevu kitabia kuhusiana na haki za wale wote tunaotangamana nao katika utafiti, uwelekevu katika nia na malengo ya utafiti na jinsi ya kutumia matokeo kwa uadilifu i