NENO
LA SIKU
"Mtafuteni
BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia
yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na
arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
"ISAYA
55:7_8
Mungu yupo karibu na wewe zaidi ya nguo
uzivaazo.Ukitaka akusikie wewe acha dhambi na urejee kwake nae atakusamehe
kabisa.
MUNGU
YUPO KARIBU YAKO, KAMA HAUTAKUWA NA DHAMBI.
Hilo andiko linapatikana wapi,,Mungu yupo jaribu kulikon mavazi?
ReplyDeleteSio kweli kwamba tukiacha dhambi ndio Mungu atatusikia,Biblia inasema tungali wenye dhambi Mungu alimtoa mwanawe kwaajili Yetu .alitupenda hivyo hivyo tukiwa wachafu ,wenye dhambi. Ila ukweli ni kwamba Kama tukiamini kwamba Mungu alimtoa kristo kwaajili ya kufuta makosa Yetu tutakuwa watoto wake .Mungu amekwisha kutusamehe, ni sisi kukubali na kuupokea msamaha ulio katika kristo Yesu ambao Mungu ameuachilia.
ReplyDelete