UMUHIMU WA KUWA NA MALENGO KATIKA MAISHA YAKO;
✅Malengo huchochea ari ya kupenda
kufanya kazi.
✅ Malengo huleta nidhamu katika matumizi
✅ Malengo ni daraja la mafanikio
✅ Malengo huongeza ufanisi katika kazi.
✅ Malengo hupunguza uzemba
✅ Malengo huongeza nidhamu katika matumizi ya muda uliojiwekea.
✅ Malengo mazuri huvutia wahisani na marafiki wanaopenda kuona mafanikio:
✅ Malengo humfanya mtu asikate tamaa katika kazi au biashara zake.
✅ Malengo hujibu changamoto zinazoweza kukukwamisha.
✅ Malengo hutoa mwongozo na kipaumbele yaani kipi ufanye Leo, kipi Kesho na kipa Kesho kutwa..
✅ Malengo hufungua mlango wa fikra chanya.

Comments
Post a Comment