Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2017

TAMASHA LA NANENANE 2017

TAMASHA LA NANENANE 2017      SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOCODE LINAKULETEA TAMASHA LA NANENANE 2017 KATIKA VIWANJWA VYA SHULE YA MSINGI YA ILEMBO NA ILEMBO MADUKANI MBEYA VIJIJI KUANZIA 06/08/2017 HADI 08/08/2017 AMBAPO KWA TAREHE 08/08/2017 JIONI TUTAKUWA KATIKA UKUMBI WA GODAUNI LA ISUTO KUFANYA SHOO NA UZINDUZI WA NYIMBO MBALIMBALI ZILIZOFANYWA VIJANA WA UMALILA ALL STARS. SHUGHULI NA MICHEZO KATIKA TAMASHA NI; M PIRA WA MIGUU , NGOMA ZA ASILI BURUDANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA, DINI NA DANSI. KUPATA FOMU YA USHIRIKI PIGA SIMU 0758051641 AU 0765878956 AU FIKA OFISINI KWA HANDO STATIONERY ILEMBO MADUKANI.                                   

YOPOCODE

YOUTH POTENTIALS FOR COMMUNITY DEVELOPMENT (YOPOCODE) ✳ Jina la shirika ni; Youth Potentials for Community development YOPOCODE ✳ Makao makuu yake ni mtaa wa Mazingula, kata ya Ilembo, Halmashauri ya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya nchini Tanzania. Na tayari YOPOCODE wana tawi Mkoa wa Singida. ✳ Usajili wake: Shirika letu limesajiliwa chini ya sheria ya taasisi zisizokuwa za kiserikali kifungu cha 24 ya mwaka 2002. ✳ Eneo la kazi; Shirika letu linafanya kazi nchi nzima isipokuwa visiwani Zanzibar. ✳ Dhamira ya YOPOCODE ni kuwawezesha vijana kwa kuwajengea uwezo Wa kujitambua na kutumia rasilimali zinazo wazunguka na fursa mbalimbali zinazopatikana katika maeneo yao kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii. ✳ Dira Dira yetu ni kuwa shirika kubwa Tanzania litakalo wawezesha vijana kujitambua kwa kutumia uwezo walionao au vipaji au taaluma au rasilimali zinazo wazunguka ili kujiletea maendeleo katika jamii. ✅  MALENGO YA SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOCODE:

TANGAZO NANENANE

YOPOCODE KWA KUSHIRIKIANA NA UMALILA ALL STARS WANAKULETEA TAMASHA LA NANENANE 2017 NDANI YA GODAUNI LA ISUTO SIKU YA NANENANE TAREHE 08/08/2017 KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI MPAKA MAJOGO. KUTAKUWA NA BURUDANI MAKINI KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI U MALILA ALL STARS BAND,  MAPACHA TOKA MBEYA, KING SWAGA TOKA DAR ES SALAAM    TKP THE GOLD TOKA DAR ES SALAAM, MAPESA TOKA MBEYA , KNEGA TOKA MBEYA    BLACKSTAR DANCES TOKA TUKUYU,  TWO BOYS TOKA TUKUYU ,BONI MWASONGOLE TOKA SONGWE ILEJE,  DEAR COSTA TOKA MBEYA NAAA  MC FESTO THE PRINCE TOKA MBEYA TAMASHA LITAAMBATANA NA UZINDUZI WA VIDEO YA UMALILA ALL STARS BAND NA VIDEO MPYA YA KING SWAGA YA NILIKUPENDA. PIA TUTAWATAMBULISHIA NGOMA MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WASANII WAKALI WA MBEYA VIJIJINI. KIINGILIO NI SHILINGI 2000/= KWA WANAUME NA SHILINGI 1000/= KWA WANAWAKE NA WATOTO Tamasha hili Linadhaminiwa na Waleje, Yopocode, Alfa Youth Academy, Ayimishilwaje Records, Youth Entertainment Group . KWA MAWASILIANO PI