Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2017

DIRA YA KIJANA TANZANIA

DIRA YA KIJANA TANZANIA BY ALFRED MWAHALENDE 2017 Yaliyomo I kijana ni nani? 2 ujana ni nini? 3 sifa na wajibu wa kijana 4 nafasi ya kijana katika maendeleo ya jamii 5 vijana kushiriki katika maendeleo ( fursa zilizopo Tanzania vijana kujiwekeza) 6 je, kijana ni taifa la leo au kesho? 7 mifano na historia ya vijana/vijana waliowahi kufanya vizuri 8 biashara, ujasiriamali na makundi ya ujasiriamali kwa vijana 9 changamoto zinzowakwamisha vijana katika kufikia ndoto zao 10 mipango na mikakati ya Tanzania mpya ya vijana. Kijana ni nani? Ø        Neno kijana linatafsiriwa katika tafsiri tofauti katika kila jamii, Mathalan nchini Tanzania kijana ni mtu mwenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 35, yaani baada ya balehe. Mabadiliko makubwa ya kimaumbile hutokea sambamba na kukomaa kwa mawazo. Ø        Aidha Kwa mujibu wa sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2007, kijana ni mtu mwenye umri kuanzia miaka 15 hadi 24. Ø