NENO
LA SIKU
"Ee
mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyomema; na BWANA anataka nini kwako, ila
kutenda haki,na kupenda rehema na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu
wako."MIKA 6:8
Kila
siku Mungu anakuwazia mema, Ndio maana amekuonyesha mema, Mungu anataka utende haki
katika kila jambo,na kupenda rehema yamkini kwa kujua au pasipo kujua
umeemtenda dhambi.Pia kwenenda kwa unyenyekevu huku ukimuofu yeye na sio
shetani wala mwanadamu.
Comments
Post a Comment