NENO
LA SIKU.
NA, SUBIRA MLAGA
NA, SUBIRA MLAGA
"Usiache
kuitumia karama iliyomo ndani yako,uliyopewa kwa unabii ma kuwekewa mikono ya
wazee."1TIMOTHEO 4:14.
Mungu
amewekeza karama mbalimbali ndani yako usiache kuzitumia kusudi mwili wa Kristo
ujengwe.Usipotumia karama yako utadaiwe pia Mungu atampatia mwingine
anayetambua thamani ya karama hiyo.Ndio maana leo wengi ni watupu wakati zamani
karama zao zilikuwa na nguvu kwa sababu waliacha kuzitumia karama walizopewa
Sawa sawa.
TUMIA
KARAMA ULIYOPEWA.
Comments
Post a Comment