NENO
LA SIKU
"Mamaye
ajawaambia watumishi, Lolote atakalowaambia , fanyeni."MATHAYO 2:5
Mariamu
alijua ukuu na uweza wa Yesu,hakupata shida ya kuamini kuhusu utendaji kazi
wake Yesu,Ndio maana alijua neno lolote atakalowaambia watumishi litakuwa.Leo
watumiashi wa Mungu wamekuambia mambo mangapi kuhusu Mungu?? Na Mungu mwenyewe
aliposema na wewe ulikuwa tayari kufanya sawasawa na alivyokuagiza??Leo
usikubali Mungu akupite, tii na fuata maagizo yake anayokuagiza kupitia
watumishi wake.
LOLOTE
MUNGU ATALALOKUAMBIA LIFANYE.
Comments
Post a Comment