MADHARA YA KUISHI
BILA MALENGO;
✍ Mtu asiyekuwa na malengo kamwe hawezi kufanikiwa katika maisha yake kwa sababu atatumia kila alichonacho hovyo hovyo.
✍ Mtu asiyekuwa na malengo hutumia vibaya muda wake na huishi bila ratiba
✍ Mtu asiye na malengo hukosa uthubutu yaani hawezi kujaribu kufanya chochote.
✍ Mtu asiye na malengo hawezi kuzifikia ndoto zake na badala yake ataishia kutamani tu.
✍ Mtu asiye na malengo hawezi kulijua kusudi la kuwepo duniani.
✍ Mtu asiye na malengo hawezi kuzungumzia kazi na mipango badala yake atazungumzia watu
na siyo kazi.

Comments
Post a Comment