JE, DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2025 INAMUHUSU NANI???
Serikali itaandaa mazingira wezeshi na kukusanya fedha kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa maendeleo wa miaka mitano.
✅ Wadau wote yaani sekta binafsi, wananchi na washirika wa maendeleo katika nafasi na uwezo wao mmoja mmoja au kwa pamoja wanatakiwa kushiriki katika utekelezaji wa mpango wa kuwekeza katika maeneo ya vipaumbele, kuchangia gharama za kutekeleza mpango ( rasilimali watu na fedha) na kubadili fikra za kimaendeleo.
Wananchi wote tunao wajibu katika utekelezaji wa mpango huu kwa;
a) kufanya kazi kwa bidii na kuwekeza nguvu na fedha katika uzalishaji Mali.
b) kudumisha umoja, Amani na utulivu.
c) kutii sheria za nchi.
e) kubadilisha fikra na mitazamo ambayo siyo rafiki kwa wawekezaji na uwekezaji nchini Tanzania.
serikali inategemea wananchi waamshe ukereketwa wa kimaendeleo na kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji kwa nia ya kutumia fursa hizi katika kupata ujuzi na kuongeza kipato na hivyo kuchangia katika ukuaji wa nchi.

Comments
Post a Comment