NENO
LA WIKI
NA, SUBIRA MLAGA
NA, SUBIRA MLAGA
"Basi
imani ni hakika ya mambo yatarajiwayo,ni bayana ya mambo
yasiyoonekana."EBRANIA 11:1.
Unapokuwa
na imani ina maana unao uwakika wa mambo yote unayoyatarajia yatoke katika
maisha yako.Imani ina sababisha mambo kutokea.Ukiondoa imani ndani ya moyo wako
utakaribisha hofu,mashaka na wasiwasi ambayo uvuruga mipango ya Mungu kwako.
Endelea
kumwamini Mungu juu ya ahadi zake maishaini mwako nae atafanya.
UKIWA
NA IMANI UNA UHAKIKA WA KILA JAMBO LA BAADAE.
Comments
Post a Comment