NENO
LA SIKU.
"Ee
BWANA,kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,Kwa ajili ya uaminifu
wako"ZABURI 115:1
Mungu
wetu ni mwaminifu sana katika maisha yetu.Uaminifu huu unatuvuta na sisi tuwe
wa aminifu kama yeye Mungu wetu alivyo.
Fadhili
zake kwetu ni za ajabu sana.Kila salaries BWANA amekuwa akitufadhili.Hata pale
ambapo hatukustaili,lakini yeye ametustailisha.
Hivyo
hivyo ulivyo yakupasa umtukuze Mungu.Kwasababu Mungu amekutendea mambo mengi
mema ambayo hayana idadi.
MILELE
NA MILELE MUNGU WETU NIWAKUSIFIWA.
Comments
Post a Comment