YOPOCODE EVENING PARTY:
Kwa heshima ya pekee, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la vijana Tanzania la YOPOCODE anakualika kushiriki chakula cha jioni kilichoandaliwa na shirika tajwa hapo juu.
Party itafanyikia katika hoteli ya landmark iliyopo UBUNGO Riverside Dar es salaam tarehe 01/10/2017 kuanzia saa 12 jioni hadi saa 2 usiku.
Party itaenda sambamba na utoaji wa vyeti kwa vijana na makampuni au taasisi zinazofanya vizuri katika harakati za kusaidia vijana Tanzania katika nyanja mbalimbali za kimaisha.
✅USHIRIKI WAKO NI MUHIMU SANA KATIKA TUKIO HILI.
KIINGILIO NI BURE,
Kwa mawasiliano;
Simu:0758051641
Barua pepe:Yopocodechannel@gmail.com
Blogu:https://yopocodetanzania.blogspot.com
Facebook page: @yopocode
NYOTE
MNAKARIBISHWA
Simu:0758051641
Barua pepe:Yopocodechannel@gmail.com
Blogu:https://yopocodetanzania.blogspot.com
Facebook page: @yopocode
NYOTE
MNAKARIBISHWA
Comments
Post a Comment