THAMANI YA CHANGAMOTO.
NGUVU YA HISIA .
Series 05.
Saul Kalivubha.
Hisia ni sehemu ya binadamu aliye kamili , na hisia ni sehemu ya AFYA , ...lakini kuna NGUVU YA AJABU SANA iliyomo ndani ya HISIA , nayo ni UWEZO WA KUFANYA UPOFU .
Unapoanza kusukumwa na HISIA ,utafanya maamuzi , mwisho wa siku maamuzi hayo yataleta MATOKEO ,....NGUVU iliyomo ndani ya HISIA NI KUKUFANYA KIPOFU , USIONE ATHARI ZA MATOKEO zitakazotokana na MAAMUZI YA HISIA.
Hali hiyo ndio inafanya watu wengi wajutuie maamuzi ya HISIA waliyoyafanya huku wakiamini ni sahihi kwa wakati ule ,lakini leo wanaishi MATOKEO yanayowaumiza.
TIBA: HISIA hushawishi MAAMUZI, jitahidi sana ufahamu athari za maamuzi kabla na HISIA isiwe ndio sababu ya kwanza KUKUFANYA UAMUE .
http://kalivubha.blogspot.com/2018/02/mambo-matano-muhimu-kabla-ya-biashara.html?m=1
Facebook na instagram , tembelea kurasa zetu za FIKIA NDOTO ZAKO.
FIKIA NDOTO ZAKO.
0652 123707.

Comments
Post a Comment