MAFANIKIO YANAHITAJI MABADILIKO.
Sijui unahitaji mabadiliko gani kwenye maisha yako ili kujiletea mafanikio?
Inawezekana unahitaji kuwaacha marafiki zako waende.
Inawezekana unahitaji maarifa mapya kwenye maisha yako.
Inawezekana ni kuongeza juhudi katika kazi zako za kila siku.
Inawezekana ni kupoteza kile ulichonacho ili kupata kitu kipya.
Inawezekana ni kujitolea kwa mtu ili kupata ujuzi wa kutosha.
Inawezekana ni kuajiriwa kwa mtu ili ujifunze na kisha kuanzisha biashara yako.
Inawezekana ni kujua wapi unapaswa kwenda katika safari ya maisha yako.
Inawezekana ni kujitolea na kuwapa watu wengine maarifa.
"Gharama ya mafanikio ni kufanya kazi kwa juhudi, kuweka nia ya dhati ya kupata mafanikio na kuhakikisha unafanya kila kitu ambacho kitabadilisha maisha yako." Vince Lombardi.
Mabadiliko chanya kwenye maisha yako yatategemea sana:-
1. Juhudi katika kazi zako
2.Kuweka nia ya dhati ya kubadilisha maisha yako.
Hakuna mtu wenye jitihada na nia ya dhati ambaye hakupata mafanikio katika maisha yake. Hivyo endelea kupambana kila siku katika maisha yako.
Badilika Sasa Initiative
Vareliano Ulrick Mtundu@2018

Comments
Post a Comment