#inawezekana
Mambo mawili ya kujilinda nayo unapokuwa katika wakati mgumu ni kile unachosema na kile unachoamua kukifanya kwa sababu hizo ndiyo silaha zinazoweza kukusaidia kutoka katika wakati mgumu au kukufanya uwe na wakati mgumu zaidi.
Mambo mawili ya kujilinda nayo unapokuwa katika furaha ya mafanikio yako ni kile unachosema na kile unachoamua kukifanya kwa sababu kwa silaha hizo mbili unaweza kuongeza mafanikio yako au unaweza kukaribisha matatizo na kutowesha furaha yako.
#lameckamos
#2018more

Comments
Post a Comment