#inawezekana
Ikiwa kuna mambo watu wanayasema kuhusu wewe na hata wewe unajua wanavyosema ndivyo ilivyo au ndivyo ulivyo basi jitahidi sana kubadilika ili ujenge palipobomoka badala ya kuanzisha vita ya kupambana na wanaokusema kitu kitakachofanya uovu wako ukomae na kuharakisha anguko lako.
Kusemwa ni vizuri tu na utimilifu wa uzuri huo ni pale ndugu msemwaji anapoamua kuchukua hatua chanya juu ya ukweli uliomo kwenye kinachosemwa.
#lameckamos
#2018more

Comments
Post a Comment