SAJILI NGO YAKO TANZANIA Je, unahitaji ‘NGO’? Fahamu utaratibu wa kusajili NGO ni kifupi cha neno Non-Governmental Organization. Kwa Kiswahili neno hili humaanisha shirika lisilo la kiserikali. Kawaida Serikali huwa ina mashirika yake, kwa mfano Shirika la Bima, Shirika la Nyumba, Shirika la Umeme, mashirika ya vyakula n.k. Tunapozungumzia NGO maana yake ni kuwa ni mashirika ambayo kwa namna yoyote ile Serikali haihusiki na umiliki wake. Ni mashirika ambayo humilikiwa na watu binafsi. Serikali huweza kushirikiana nayo tu, lakini si kuyamiliki. Taratibu za uanzishaji, usajili na uendeshaji huratibiwa bayana na Sheria ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Na. 24, 2002. 1. YAPI YAWE MALENGO YA KUANZISHA NGO Malengo makuu ya kuanzisha NGO yawe ni kusaidia makundi au kundi maalum katika jamii. NGO siyo shirika la biashara. Siyo kampuni ambayo muanzishaji wake hutarajia kutengeneza faida. NGO ni shirika la hisani. Ni shirika la kuj...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.