Skip to main content

MAMBO 12 YA KUFANYA UKIWA KIJANA

Vijana Tanzania
Na Alfred Mwahalende
Kwa mujibu wa mwandishi wa blog ya Dira Ya Kijana Tanzania  Janerosa Mafwimbo anasema Neno kijana limekuwa na maana pana na linakuwa likipata tafsiri mbalimbali kutoka katika kila Taifa, jamii au tamaduni fulani. Kwakuzingatia mifumo au maisha ya jamii tunapata baadhi ya tafsiri za neno kijana kama ifuatavyo:
1.    Kijana ni mtu wa miaka 15-24. Hii ni tafsiri ya umoja wa Mataifa.
2.    Mathalani nchini Tanzania kijana ni mtu wa miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea ukubwa, aidha kw mujibu wa sera ya Taifa ya maendeleo ya vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2007, inasema kijana ni mtu mwenye umri kuanzia miaka 15-24.Hivyo basi kijana ni mtu yeyote wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 18-35 ambaye kwa mujibu wa mifumo ya kijamii au kitamaduni, kisiasa na kisheria anauwezo wa kujitegemea na kufanya maamuzi yake binafsi.
JE, UJANA NI NINI?
3.    Ujana ni hatua ambayo mtu anapitia baada ya utoto.
4.    Ujana ni hali ya kuwa na tabia za umri wa ujana ambao ni miaka 18-35.
5.    Ujana ni kipindi cha makuzi ya mtu kabla ya utu uzima na hatimaye uzee.
6.    Ujana ni kipindi kati ya miaka 18-35 hivi ambapo mtu anakuwa amepevuka na ukomavu wa kiakili na kimwili.
NIKUKUMBESHE MAMBO KUMI NA MBILI (12) MUHIMU UNAYOTAKIWA KUYAFANYA KATIKA KIPINDI HIKI CHA UJANA WAKO;
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unajijenga kielimu, imarisha misingi kwenye taaluma mbalimbali yaani elimu ya msingi ya darasani na elimu ya stadi za maisha ya mtaani. Jijengee Maarifa makubwa yatakayokusaidia kuhamisha milima yaani changamoto. Pia katika elimu usisahau elimu ya dini, elimu ya afya, biashara, ujasiriamali na mahusiano.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unapata ardhi au kiwanja chako na uanze kuweka malengo ya kujenga.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 wekeza kwenye chochote unachohisi au unachoona kinaweza kukuingizia kipato chako, usiogope kuwekeza kwenye fursa ndogo ndogo zinazoweza kukuingizia kipato.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unaingia kwenye mahusiano ya kweli na ndoa. Unapofikia ujana hakikisha unajijengea mahusiano mazuri, unitumie silaha ya ujana kujiingiza katika mahusiano na kila inayemuona mbele yako. 
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unakwepa kujiingiza kwenye starehe zisizokuwa za lazima, achana na tabia za ulevi, matumizi mabaya ya muda na pesa, kumbuka wakati wa ujana ni wakati wa kukusanya utakachokula uzeeni.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unafungua akaunti ya pesa ili uweze kuanza kuweka akiba kwa matumizi ya baadaye.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unajenga uaminifu kwa kila mtu yaani uaminifu katika ahadi na matendo yako.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unakuwa na marafiki wenye tija, pia marafiki wanakujenga kiakili na kukusaidia kutimiza kusudi lako, achana na marafiki wanafiki, wafitini na wenye wivu wa kijinga. Pia angalia marafiki wanaokutia moyo na kukukosoa pale unapokosea.
https://static.xx.fbcdn.net/images/emoji.php/v8/fe/1/16/2733.png
 katika kipindi hiki cha ujana hakikisha unaanza kufanya mambo yako kwa malengo. Usifanya mambo bora yaenda, Fanya mipango kwa utuluvi mkubwa usikurupuke, weka mikakati makini inayoweza kukutoa katika maisha yako. 




Comments

  1. Nice nitafanyia kaz

    ReplyDelete
  2. Nice thakyour for adivice

    ReplyDelete
  3. Kiukweli nmejifunza Asante kwa elim

    ReplyDelete
  4. π—¨π—§π—”π—π—œπ—₯π—œ π—ͺ𝗔 π—‘π——π—”π—šπ—¨ 𝗑𝗔 π— π—”π—π—œπ—‘π—œ π—‘π——π—”π—‘π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—¦π—”π—”πŸ°πŸ΄ π—¨π—•π—”π——π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—˜ π— π—”π—œπ—¦π—›π—” 𝗑𝗔 𝗠𝗙𝗨𝗠𝗒 π—ͺ𝗔 π—¨π—§π—”π—™π—¨π—§π—”π—π—œ π—ͺπ—”π—žπ—’.

    KATIKA SAFARI YA MAFANIKIO TUNAPITIA MENGI ILI TUWEZE KUFANIKIWA LAKINI WENGI WETU KUNA MAMBO MACHACHE SANA WENGI WETU TUNAYADHARAU NA KUMBE NDIO CHANZO CHA MAFNIKIO YETU.

    N.B KWA WALE WAHITAJI WA PESA ZA NDAGU au MAJINI kwa mudamfupi nipigie DOKTA MDIRO +255 742162843

    HAYA NI MAMBO 7 YAKUZINGATIA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFNIKIO

    i) Wazazi wako wakiwa wamekulea mpaka ukawa mkubwa wafumbua macho unawaona akikisha usiwafanye wakajuta kukuzaa asilimia kubwa wazazi wanakuwa na tabu sana ila zile tabu zao ndio zinazokufanya wewe una aminiwa na watu na unaeshimika na kujieshimu

    Kwaiyo jitahidi sana kuwa nao vizuri kuna wengi maisha yao wanaishi kwa shida chanzo ni utofauti baina ya wazazi wao

    Ukiona wazazi wako wanatabu sana usiwajibu vibaya wewe kaa nao mbali ila wape majukumu yao unacho fanya kuwaona nakurudi ulipo apo utaona mambo yako yatakuwa vizuri sana

    ii) JAMBO LA PILI
    Akikisha unatunza uzao wako yani ukijua ni mtoto ni wako basi jitahidi sana kutoa uduma ata kidogo ulicho nacho lakini udumia usiache uzao wako unateseka na njaa wewe una kula maisha aisee fahau

    Kila mtoto wako anavyo kuwa ndio mambo yako yanaaribika usipo udumia kwaiyo ukiwa waitaji kufanikiwa zaidi jali uzao wako

    iii) JAMBO LA TATU
    ukiwa umeoa au umeolewa usitoe talaka au kuomba talaka kabla mwenzio ayupo tayari kwa muda huo fahamu ukiomba talaka au akikupa talaka bila bila sababu ya msingi yeye tu ana matamanio ya kidunia basi anamuda atapoteza muelekeo wa maisha yake

    iv) UKIWA WAPATA PESA
    ukiwa wapata pesa alafu utoi sadaka basi kufikia kwenye ukuu utachelewa sana mana mana pesa badala ya kutoa kwa iyari yako utatoa kwa matatizo kwaiyo jitahidi icho icho kidogo toa sadaka kwa wenye uitaji

    v) USIMZULUMU MTU
    kama wataka kufika mbali kwenye mafanikio yako usimzulumu mtu ata kwa uchache wa kitu usifanye ivyo itakugarimu kiasi kikubwa

    vi) USIZARAH MILA
    ukiwa kwenu kuna mambo ya mila mzimu tambiko jitahidi kufatilia sana aya mambo yanarudisha nyuma sana usipo yawahi mapema

    vii)USIWE WA NAMNA
    1)ikiwa ujafanikiwa jitahidi sana usiwe mvivu kufanya kazi usiwe muhuni usiwe mwenye chuki na asira zisizo za msingi usiwe na tamaa nyoa vizuri vaa nguo za eshima na usiige maisha ya watu.

    Kwanza kabisa nataka kukwambia kwamba hakika utajiri ni hazina kutoka kwa mwenyezi mungu na pia kuna viumbe alio wapa mamlaka na nguvu ya kumiliki mali)

    MPAKA MASAA 72(SIKU3) PAPO HAPO KWA MASHARTI MAALUM KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......
    KUMBUKA MALIPO NI BAADA YA KUFANIKIWA
    kwa maelezo kamili piga namba +255742162843

    (KWANINI USUMBUKE,HACHA KUTANGATANGA, NA MAISHA NI MAFUPI PUUZA UONGOFU WA KUWA MTU KUWA TAJIRI NI DHAMBI WAKATI AKUAMBIAE YEYE NI TAJIRI (Tumia ufahamu kujinasuaUTAJIRI WA NDAGU(MASHARTI) NDANI YA MASAA 72(SIKU TATU) PAPO HAPO KIKUBWA UWE MWAMINIFU, JASILI NA UWE NA UTAYARI WA KUPOKEA MASHARTI YA KUTUNZA SIRI HII SIO MZAHA......

    NAITWA DR, MDIRO piga 0742162843. KAMA UNAITAJI PESA ZA MAJINI AU NDAGU YA MALI AU ULINZI KWA MALI YAKO
    (HUSITUME SMS PIGA SIMU KUHEPUKA MATAPELI)
    MATIBABU MENGINEYO NI KAMA UTULIVU KATIKA NDOA, AU KUMVUTA UMPENDAE, KUONDOA MIKOSI, MABALAA, KUOSHA NYOTA, KUITAMBUA NYOTA YAKO NA ASILI YA KAZI YAKE, KAMA UNASUMBULIWA NA MAJINI MAHABA NA SHIDA YA UZAZI.
    NIPIGIE 0742162843. KIKUBWA NI KUSIKILIZA NA KUFATA MASHARTI. ANGALIZO USITUME SMS PIGA NA UWE NA NIA.
    (kuhusu utajiri au pesa) KABLA YA KUPIGA SIMU ZINGATIA YAFUATAYO
    1. uwe una umri wa miaka 18+
    2. uwe tayari kupokea masharti yote
    3.uwe na uwezo wa kutunza siri
    4. uwe jasiri wa kupokea taarifa yoyote

    KWA MAWSILIANO ZAIDI KUHUSU MATATIZO MBALIMBALI YA TIBA ASILI NA TIBA MBADALA, PETE MALI ZA NDAGU NA MAJINI N.K

    DOKTA MDIRO Call/whatsup +255 742162843.

    ReplyDelete

Post a Comment

Popular posts from this blog

KIJANA NI NANI???

KIJANA NI NANI? NA MWANDISHI,  JANEROSA MAFWIMBO Neno kijana limekuwa na maana pana na linakuwa likipata tafsiri mbalimbali kutoka katika kila Taifa, jamii au tamaduni fulani. Kwakuzingatia mifumo au maisha ya jamii tunapata baadhi ya tafsiri za neno kijana kama ifuatavyo: Kijana ni mtu wa miaka 15-24. Hii ni tafsiri ya umoja wa Mataifa. Mathalani nchini Tanzania kijana ni mtu wa miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea ukubwa, aidha kw mujibu wa sera ya Taifa ya maendeleo ya vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2007, inasema kijana ni mtu mwenye umri kuanzia miaka 15-24. Hivyo basi kijana ni mtu yeyote wa kike au kiume mwenye umri wa miaka 18-35 ambaye kwa mujibu wa mifumo ya kijamii au kitamaduni, kisiasa na kisheria anauwezo wa kujitegemea na kufanya maamuzi yake binafsi. Tofauti kati ya mtoto na kijana, wengi wanashindwa kutofautisha kati ya mtoto na kijana hasa waliopo katika elimu ya msingi na sekondari kuto...

WITO NI NINI?

MJUE ALIYEKUITANA KUMTUMIKIA WITO NI NINI? Kila mtu Mungu amemwita kwa nafasi yake amtumikie.Hata kama kwa nje wito utaonekana kufanana haina maana wito wa mtu mmoja na mwingine unafanana. Wito unatokana na kuitwa. Kila mtu Mungu amemwita amtumikie katika eneo Fulani.  Wito : Ni sauti au agizo analosikia mtu likimwelekeza nini cha kufanya.Katika wito wowote ukiwa umeitwa na Mungu atakuelekeza nini cha kufanya.Na unapoitwa na Mungu jitahidi kutenda sawa na wito wako ulivyo. NITAJUAJE NIMEITWA? 1.Utaisikia sauti ya Mungu ikisema na wewe: Kama kuitwa kwa kawaida kulivyo ndivyo mtu uisikia sauti ya Mungu  ikisema nae. Ebu angali mifano ya watu mbalimbali waliowahi kuisikia sauti ya Mungu ikiwaita kwa ajili ya kutekeleza agizo fulani. MUSA kabla ya kuanza kumtumikia Mungu alikuwa mchungaji wa mifugo ya mkwe Yethro kuhani wa Midiani.Katikati ya uchungaji Mungu alimwita Musa.Kumbe ili na wewe umtumikie Mungu unatakiwa uisikie sauti yake ikisema na wewe,Ni hatari sana...