MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NANENANE 2017 LITAKALOFANYIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI ILEMBO UMALILA MBEYA VIJIJINI, MKOANI MBEYA, TANZANIA.
Rejea kichwa cha habari hapo juu kama kinavyojieleza. Shirika la vijana Tanzania la “Youth Pontential for Community development( YOPOCODE)” Kwa kushirikiana na kundi la sanaa na utamaduni la TANZANIA YOUTH TALENT ASSOCIATION (TAYOTA) linakuletea Tamasha La Nanenane 2017 litakalofanyika katika viwanja vya shule ya msingi ya Ilembo Mbeya Vijijini, Mkoani Mbeya nchini Tanzania kuanzia 01/08/2017 hadi 08/08/2017.
a) Lengo la tamasha hili ni kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwemo kilimo ili kuinua maisha yao kiuchumi.
b)Kuhamasisha vijana kujali na kulinda afya zao kwa kushiriki michezo na burudani mbalimbali zenye tija na kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana Tanzania.
c) Kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana Tanzania.
d) Pia Katika tamasha la nanenane 2017 tutalenga kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vijana na kuwasaidia vijana walio katika vikundi vya uzalisha mali vya pamoja.
VIPENGELA VYA USHIRIKI
1.Ngoma Za Asili
2.Mpira Wa Miguu
3.Muziki/injiri/bongo/dansi
4.Midahalo kwa vijana na wanafunzi wa sekondari (debates)
5.Maonyesho ya Kilimo na biashara
Kupata fomu ya ushiriki piga fika katika ofisi za shirika la vijana la YOPOCODE Zilizopo katika mtaa wa mazigula, kijiji cha Ilembo,halmashauri ya wilaya ya mbeya,mkoani mbeya.
KARIBUNI SANA KWENYE TAMASHA LA NANENANE 2017
Alfred Sostern Mwahalende
Mkurugenzi mtendaji
YOUTH POTENTIALS FOR COMMUNITY DEVELOPMENT( (YOPOCODE)

Comments
Post a Comment