Skip to main content

Posts

OBJECTIVES OF “NANENANE FESTIVAL 2018”

OBJECTIVES OF “ NANENANE FESTIVAL 2018 ” The main objective; To make sure that young men have confidence mindset in using their talents as methods of reducing financial crime (poverty, economical drop and underdevelopment), to undertake financial precautions’ for the betterment of their life. ²   To promote educations, sports /games and creative arts to the youths. ²   To create employment opportunities and impart people with entrepreneurship skills to improve life standards. ²   To review and promote cultural development, with a view of eradicating outdated cultural practices. ²   To build strong relationships with organizations that share our aims, thereby further increasing the capacity of young people to build on their skills and aptitudes for their own personal growth and their community’s long term success and development. ²   Bring people together in purposeful, mutually beneficial activities which promote greater understanding and respect ...

NENO LA SIKU

NENO LA SIKU. "Ee BWANA,kutukuza usitutukuze sisi,Bali ulitukuze jina lako,Kwa ajili ya uaminifu wako"ZABURI 115:1 Mungu wetu ni mwaminifu sana katika maisha yetu.Uaminifu huu unatuvuta na sisi tuwe wa aminifu kama yeye Mungu wetu alivyo. Fadhili zake kwetu ni za ajabu sana.Kila salaries BWANA amekuwa akitufadhili.Hata pale ambapo hatukustaili,lakini yeye ametustailisha. Hivyo hivyo ulivyo yakupasa umtukuze Mungu.Kwasababu Mungu amekutendea mambo mengi mema ambayo hayana idadi. MILELE NA MILELE MUNGU WETU NIWAKUSIFIWA.

SABABU ZINAZOPELEKEA FIKRA ZA VIJANA WENGI KUWA HASI

     SABABU ZINAZOPELEKEA FIKRA ZA VIJANA WENGI  KUWA HASI MWANDISHI JOAS YUNUS JYB Kadri binadamu anavyokua anakutana na mazingira mbalimbali .Mazingira ni pamoja na watu tunaokutana nao, vitabu tunavyosoma, mambo tunayoyaona na kusikia . Mazingira huanza kuathiri mtazamo wa kijana wa kuzaliwa nao na kwa bahati mbaya vijana wengi mtazamo wao chanya hubadilika na kuwa mtazamo hasi. Mtu anapokuwa mdogo anapenda kufika mahali fulani lakini kadri anavyoendelea mbele, ndoto zake huanza kuyeyuka kutokana na watu anaokutana nao pamoja na vitu anavyosikia ambavyo hubadili mtazamo wake kutoka chanya kwenda hasi. Wachache wanaokutana na mazingira sahihi ndio hao hufikia ndoto zao na kuwa na mafanikio makubwa. Zipo sababu kadha wa kadha zinazosababisha mtu kuwa na fikra hasi. Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na: ·          Marafiki Vijana wengi wameshindwa kujua kuwa maisha tunayoishi na tutakaoishi yanatokana na wat...

UKITAKA MAMBO YAKO YAENDE VIZURI

UKITAKA MAMBO YAKO YAENDE VIZURI KATIKA MALENGO ULIYOJIWEKEA FANYA MAMBO YAFUATAYO ; A) Imarisha na kujenga mawasiliona mazuri na mahusiano mazuri pia kati yako na watu wanaokuzunguka. Kama ni malengo ya kibiashara jitahidi kuwa na mawasiliona mazuri na wateja wako. Ili kukuza mawasiliona jitengenezee kitu kinaitwa “business cards" yenye mawasiliona yako yote muhimu yaani namba ya simu, email na hata website kama ipo. B) Jijengee tabia ya kwenda na wakati kwa lugha nyepesi unaweza kusema zingatia sana muda wako na ikiwezekana panga ratiba yako mapema. Usipoteze muda wako kwa vitu visivyokuwa vya msingi wowote katika maisha yako. Kila kukicha jiulize nitafanya nini Leo? Na nitaanza na nini?? Na kumalizia nini??? C) Jiamini na kujidai mbele ya maadui zako, hapa namaanisha usiogope changamoto zilizopo katika kile unachotaka kukifanya. Kumbuka Uoga ni adui wa mafanikio yako. Pia Uoga ni udhaifu na ni dhambi kwa watu wanao Amini. Mtu asiyejiamini ni ngumu sana kufanikiwa kati...

ILI KUYAFIKIA MALENGO YAKO ZINGATIA YAFUATAYO

ILI KUYAFIKIA MALENGO YAKO ZINGATIA YAFUATAYO u   Muda, muda hauna urafiki na mtu, hausimami labda usimamishe saa yako, haukusubiri ujiweke sawa. Wenyewe unasongambele na haurudi nyuma, kinachotakwa ni wewe kuwa na mpango na ratiba yako u   kuwa na mtizamo chanya , kuwa na malengo na fikiria kufanikiwa na sio kusindwa, siku zote kinacho kwamisha watu ni mawazo hasi na yanatokana na changamoto unazokumbana nayo,jifunze kuwa mvumilivu na mtatatuzi wa changamoto zako, acha kufuata historia na kusikiliza wailioshindwa na wenye wivu kwakuwa watakukatisha tamaa daima ili uendelee kufanana nao . u   kuwa mtafiti penda kukijua unachotaka kukifanya au unachofanya kiundani zaidi na jua faida na hasara zake, utanufaika vip na kwa wakati gan na kina nani watakuwa wateja wako , u   Jitume kuwa na nia ya dhati kwa kile unachokifanya , tumia uwezo wako kia kili na kifikra kuhakikisha unafanikisha lengo lako kuu ambalo ndilo lililo kupelekea kuwa na wazo hilo, siku zote...

MIKA 6:8

NENO LA SIKU "Ee mwanadamu, yeye amekuonyesha yaliyomema; na BWANA anataka nini kwako, ila kutenda haki,na kupenda rehema na kwenda kwa unyenyekevu na Mungu wako."MIKA 6:8 Kila siku Mungu anakuwazia mema, Ndio maana amekuonyesha mema, Mungu anataka utende haki katika kila jambo,na kupenda rehema yamkini kwa kujua au pasipo kujua umeemtenda dhambi.Pia kwenenda kwa unyenyekevu huku ukimuofu yeye na sio shetani wala mwanadamu.