Skip to main content

Posts

TAMASHA LA NANENANE 2017

TAMASHA LA NANENANE 2017      SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOCODE LINAKULETEA TAMASHA LA NANENANE 2017 KATIKA VIWANJWA VYA SHULE YA MSINGI YA ILEMBO NA ILEMBO MADUKANI MBEYA VIJIJI KUANZIA 06/08/2017 HADI 08/08/2017 AMBAPO KWA TAREHE 08/08/2017 JIONI TUTAKUWA KATIKA UKUMBI WA GODAUNI LA ISUTO KUFANYA SHOO NA UZINDUZI WA NYIMBO MBALIMBALI ZILIZOFANYWA VIJANA WA UMALILA ALL STARS. SHUGHULI NA MICHEZO KATIKA TAMASHA NI; M PIRA WA MIGUU , NGOMA ZA ASILI BURUDANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA, DINI NA DANSI. KUPATA FOMU YA USHIRIKI PIGA SIMU 0758051641 AU 0765878956 AU FIKA OFISINI KWA HANDO STATIONERY ILEMBO MADUKANI.                                   

YOPOCODE

YOUTH POTENTIALS FOR COMMUNITY DEVELOPMENT (YOPOCODE) ✳ Jina la shirika ni; Youth Potentials for Community development YOPOCODE ✳ Makao makuu yake ni mtaa wa Mazingula, kata ya Ilembo, Halmashauri ya wilaya ya Mbeya vijijini mkoani Mbeya nchini Tanzania. Na tayari YOPOCODE wana tawi Mkoa wa Singida. ✳ Usajili wake: Shirika letu limesajiliwa chini ya sheria ya taasisi zisizokuwa za kiserikali kifungu cha 24 ya mwaka 2002. ✳ Eneo la kazi; Shirika letu linafanya kazi nchi nzima isipokuwa visiwani Zanzibar. ✳ Dhamira ya YOPOCODE ni kuwawezesha vijana kwa kuwajengea uwezo Wa kujitambua na kutumia rasilimali zinazo wazunguka na fursa mbalimbali zinazopatikana katika maeneo yao kwa lengo la kuleta maendeleo katika jamii. ✳ Dira Dira yetu ni kuwa shirika kubwa Tanzania litakalo wawezesha vijana kujitambua kwa kutumia uwezo walionao au vipaji au taaluma au rasilimali zinazo wazunguka ili kujiletea maendeleo katika jamii. ✅  MALENGO YA SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOC...

TANGAZO NANENANE

YOPOCODE KWA KUSHIRIKIANA NA UMALILA ALL STARS WANAKULETEA TAMASHA LA NANENANE 2017 NDANI YA GODAUNI LA ISUTO SIKU YA NANENANE TAREHE 08/08/2017 KUANZIA SAA KUMI NA MOJA JIONI MPAKA MAJOGO. KUTAKUWA NA BURUDANI MAKINI KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI U MALILA ALL STARS BAND,  MAPACHA TOKA MBEYA, KING SWAGA TOKA DAR ES SALAAM    TKP THE GOLD TOKA DAR ES SALAAM, MAPESA TOKA MBEYA , KNEGA TOKA MBEYA    BLACKSTAR DANCES TOKA TUKUYU,  TWO BOYS TOKA TUKUYU ,BONI MWASONGOLE TOKA SONGWE ILEJE,  DEAR COSTA TOKA MBEYA NAAA  MC FESTO THE PRINCE TOKA MBEYA TAMASHA LITAAMBATANA NA UZINDUZI WA VIDEO YA UMALILA ALL STARS BAND NA VIDEO MPYA YA KING SWAGA YA NILIKUPENDA. PIA TUTAWATAMBULISHIA NGOMA MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WASANII WAKALI WA MBEYA VIJIJINI. KIINGILIO NI SHILINGI 2000/= KWA WANAUME NA SHILINGI 1000/= KWA WANAWAKE NA WATOTO Tamasha hili Linadhaminiwa na Waleje, Yopocode, Alfa Youth Academy, Ayimishilwaje Records, Yout...

BARUA YA MWALIKO

BARUA YA MWALIKO KATIKA UZINDUZI RASIMI WA SHIRIKA LA VIJANA LA YOPOCODE Ndugu/Mheshimiwa/ Daktari/Profesa/ Mr na Mrs............................ K wa heshima  ya pekee, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la vijana Tanzania la YOPOCODE anakualika katika uzinduzi rasimi wa shirika tajwa lenye namba za usajili ooNGO/0009193. Uzinduzi utafanyikia yalipo Makao makuu ya YOPOCODE mtaa wa mazigula, kata ya Ilembo katika Halmashauri ya Mbeya vijijini tarehe 08/08/2017 kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane za mchana. Uzinduzi utaenda sambamba na shughuli mbalimbali ikiwemo na harambee maalumu ya kuchangia fedha kwa ajili ya kuimarisha shughuli za shirika na kuwa mkombozi kwa vijana kwa Mkoa wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla wake. U SHIRIKI WAKO NI MUHIMU SANA KATIKA TUKIO HILI LA KIHISTORIA, TUNAOMBA UFIKE BILA KUKOSA. AIDHA WAWEZA KUTOA MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI KUFANIKISHA TUKIO HILI.  K AMATI YA MAANDALIZI  0 758051641 ALFRED MWAHALENDE   0768577408 INNOCENT L...

UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI KIBIASHARA

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI SEHEMU YA KWANZA IMEDHANIWA NA YOPOCODE KWA KUSHIRIKIANA NA TAMASHA LA NANENANE 2017 UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya katika zoezi zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimeamua kuuleta kwenu ili kwa mtu mwenye malengo ya kufanikiwa kupitia ufugaji wa kuku ajue mlolongo mzima na changamoto ambazo atakabiliana nazo. A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4.Nyama na mayai yake vina ladha nzuri kuliko kuku wa kisasa.(PATA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ILI UTHIBITISHE) 5. Wana uwezo ...

MWALIKO NANENANE 2017

MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NANENANE 2017 LITAKALOFANYIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI ILEMBO UMALILA MBEYA VIJIJINI, MKOANI MBEYA, TANZANIA. Rejea kichwa cha habari hapo juu kama kinavyojieleza. Shirika la vijana Tanzania la “Youth Pontential for Community development( YOPOCODE)” Kwa kushirikiana na kundi la sanaa na utamaduni la TANZANIA YOUTH TALENT ASSOCIATION (TAYOTA) linakuletea Tamasha La Nanenane 2017 litakalofanyika katika viwanja vya shule ya msingi ya I lembo Mbeya Vijijini, Mkoani Mbeya nchini Tanzania kuanzia 01/08/2017 hadi 08/08/2017. a) Lengo la tamasha hili ni kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwemo kilimo ili kuinua maisha yao kiuchumi. b)Kuhamasisha vijana kujali na kulinda afya zao kwa kushiriki michezo na burudani mbalimbali zenye tija na kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana Tanzania. c) Kuibua, kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijana Tanzania. d) Pia Katika tamasha la nanenane 2017 tutalenga kutoa elimu ya ujasiriamali kwa vi...

BARUA YA NANENANR

YOUTH POTENTIALS FOR COMMUNITY DEVELOPMENT (YOPOCODE)        SIMU: +255-758 051641 , +255-768 577408 ,0765300255,0653983001, 0768416619 Barua Pepe: yopocode@gmail.com KWA MADIWANI WOTE WILAYA YA MBEYA VIJIJI/VIONGOZI WA VIKUNDI/TIMU/BENDI NA MTU MMOJA MMOJA YAH : MWALIKO WA KUSHIRIKI KATIKA TAMASHA LA NANENANE 2017 LITAKALOFANYIKA VIWANJA VYA ILEMBO MBEYA VIJIJINI. Rejea kichwa cha habar i hapo juu kama kinavyojieleza. S hirika la vijana Tanzania la   “ Youth Pontential for Community d evelopment( YOPOCODE)” linakuletea Tamasha La Nanenane 2017 litakalofanyika katika viwanjwa vya shule ya msingi ya Ilembo Mbeya Vijiji kuanzia 01/08/2017 hadi 08/08/2017 .Lengo la tamasha hili ni kuwahamasisha vijana kushiriki katika shughuli za maendeleo ikiwemo kilimo ili kuinua maisha yao kiuchumi. Pia kuhamasisha vijana kujali na kulinda afya zao kwa kushiriki michezo na burudani mbalimbali zenye tija na kukuza na kuendeleza vipaji kwa vijan...