KUTAKUWA
NA BURUDANI MAKINI KUTOKA KWA WASANII MBALIMBALI
UMALILA ALL STARS BAND, MAPACHA
TOKA MBEYA, KING SWAGA TOKA DAR ES SALAAM
TKP THE GOLD TOKA DAR ES SALAAM, MAPESA TOKA MBEYA , KNEGA TOKA MBEYA BLACKSTAR DANCES TOKA TUKUYU, TWO BOYS TOKA TUKUYU ,BONI MWASONGOLE TOKA
SONGWE ILEJE, DEAR COSTA TOKA MBEYA
NAAA MC FESTO THE PRINCE TOKA MBEYA
TAMASHA LITAAMBATANA NA UZINDUZI WA VIDEO YA UMALILA ALL STARS
BAND NA VIDEO MPYA YA KING SWAGA YA NILIKUPENDA. PIA TUTAWATAMBULISHIA NGOMA
MBALIMBALI ZILIZOFANYWA NA WASANII WAKALI WA MBEYA VIJIJINI.
KIINGILIO NI SHILINGI 2000/= KWA WANAUME NA
SHILINGI 1000/= KWA WANAWAKE NA WATOTO
Tamasha hili Linadhaminiwa na Waleje, Yopocode,
Alfa Youth Academy, Ayimishilwaje Records, Youth Entertainment Group.
KWA MAWASILIANO PIGA 0758051641 AU 0765794134
Comments
Post a Comment