NAMNA YA KUENDESHA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI NA BIASHARA Name; FILBERT NYONI Phone no; 0656447888 email; nyonifilbert30@gmail.com Vijana wenzangu popote mlipo Tanzania na duniani kote ,poleni kwa mahangaiko ya kuendelea kutafuta ugali kwani hata katika maandiko ya vitabu vya dini imeandikwa asiyefanya kazi na asile,na mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hii yote ni kudhilisha kuwa ni lazima kila mtu afanye kazi kulingana na kipawa alichojaaaliwa na mwenyezi mungu muumba wa mbingu na v yote vilivyopo katika uso wa duniani . Najua kila kijana ananamna anavyotafuta RIDHIKI ili mradi tu inakua halali, wapo wanaofanya kazi mmoja mmoja,wapo walioaji r iwa serikalina, taasisi za serikali, taasisi na mashirika binafsi, lakini wapo ambao wameamua kujiaji r i wenyewe katika shughuli mbali mba li za kijasiariamali, wapo wakulima, wafanyabiashara, mmoja na hata walioamua kuunda vikundi ili kuona namna gani nguvu ya pamoja...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.