DAFTARI LA MABALOZI WA KAMPENI YA BINTI
AMKA TANZANIA 2018/2019
PREPARED BY:
YOUTH
POTENTIALS FOR COMMUNITY DEVELOPMENT (YOPOCODE TANZANIA)
P.O
BOX 78409 DSM
Lufungira/Sam Nujoma Road
Kinondoni.
Dar
Es Salaam And Coastal Region
E-mail:yopocode@gmail.com
Blog:
https://yopocodetanzania.blogspot.com
You
tube:@yopocodechannel
Facebook
page:@Binti Amka Tanzania
Empower youth for Sustainable Development
UTANGULIZI KUHUSU
MRADI
Kwa mujibu wa Takwimu za Sensa ya Watu na Makazi ya
Mwaka 2012, idadi ya watoto wa kike kati ya umri wa miaka 0-17 hapa Tanzania
ni 11,263,891 idadi ambayo ni sawa na asilimia 48.8 ya watoto wote chini
ya miaka 17, ambapo Tanzania bara kuna watoto wa kike elfu
10,943,846 na Tanzania visiwani idadi yake ni laki tatu (320,045).Hivyo
basi nusu ya idadi hii ni wanawake na watoto ikilinganishwa na idadi ya
watanzania wote ambao ni milioni 44,928,923 ambapo kati yao wanawake ni
milioni 23,058,933.
Inasikitisha kuona kuwa mtoto wa
kike hapa nchini bado wamekuwa wakikabiliwa na changamoto nyingi na cha
kusikitisha zaidi mtoto huyu anaanza kubaguliwa kuanzia katika ngazi ya
familia.Katika familia nyingi za kitanzania mtoto wa kike amekuwa akikosa fursa
ya kupata Elimu ukilinganisha na mtoto wa kiume na katika mazingira mengine
wazazi wamediriki hata kuwaozesha watoto wao wa kike kwa ajili ya kupata fedha
ya kusomesha watoto wa kiume. Ukiangalia pia katika suala zima la Elimu ni
ukweli usiofichika kuwa idadi ya wasichana wanaoshindwa kumaliza masomo kwa
sababu za kupata mimba imekuwa ikiongezeka.
Kwa mujibu wa taarifa ya Shirika
la watoto duniani UNICEF kumekuwa na ongezeko la mimba mashuleni kutoka
asilimia 23 hadi 26 yaani takribani watoto wa kike elfu nane (8000) hapa
Tanzania kila mwaka hukatisha masomo kwa ajili ya ujauzito na ndoa za utotoni
ambazo kwa kiasi kikubwa huathiri ndoto za watoto wa kike kuzimika.
Vile vile idadi ya watoto wa kike ambao wamekuwa wakimaliza Elimu ya
msingi lakini kutokupewa nafasi ya kujiendeleza kielimu hata pale wanapokuwa
wamefaulu nayo pia imekuwa ikiongezeka na badala yake mabinti hawa wamekuwa
wakilazimika kuingia katika ndoa katika umri mdogo na hatimaye kushindwa
kufikia ndoto zao kielimu na kiuchumi.
Tumeendelea pia kushuhudia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kingono
kama ubakaji na ulawiti kwa Watoto wa kike na cha kusikitisha zaidi vitendo
hivi vimekuwa vikifanywa na Ndugu wa karibu sana wa Watoto hawa wakiwemo
wazazi, walezi, majirani na hata walimu huko mashuleni. matukio haya yamekuwa
hayafikishwi Katika vyombo vya Sheria kwani mengi huzungumzwa kifamilia na
kuwaacha watuhumiwa wakiendelea na maisha yao.
Tanzania ni nchi moja wapo yenye idadi kubwa ya ndoa za utotoni kwa
takribani ya asilimia 35 watoto wa kike hapa nchini huozeshwa chini ya
umri wa miaka 18 na hivyo kukatishwa ndoto zao za kujiendeleza kielemu na hata
ustawi mzima wa maisha yao.
Kwa kifupi watoto wa kike wanapata athari mbalimbali ikiwemo;Kuendelea
kudidimiza nafasi ya mwanamke katika Jamii na taifa zima kwa ujumla na
kuendeleza mfumo dume kwani ukatili mwingi huanzia katika ngazi ya familia
Kutokuendelezwa kielimu kwa mtoto wa kike na hii hupelekea kuendelea kuwa na
idadi kubwa ya Wanawake ambao hawana Elimu na hivyo kuendelea kuwa tegemezi kwa
wanaume na pia kushindwa kujikwamua kiuchumi.
Idadi kubwa
ya athari za kiafya zinazowapata watoto wa kike kwa ajili ya kujifungua katika
umri mdogo ambayo husababisha wengine kupoteza maisha, kupatwa na fistula na
maambukizi ya virusi vya ukimwi pamoja na magonjwa mengine ya zinaa. Malezi
duni ya watoto kwa kuwa watoto hawa wanakuwa bado ni wadogo kuweza kukabiliana
na jukumu kubwa la malezi na matunzo ya familia. Kuendelea kuongezeka kwa
Ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwani watoto hawa mara nyingi huolewa na
watu waliowazidi umri sana na hivyo kutokuwa na maamuzi yoyote katika nyumba.
VIASHIRIA
KUNA
VIASHIRIA MBALIMBALI AMBAVYO VIMEPELEKEA KUANZISHA KAMPENI HII YA BINTI
AMKA TANZANIA
1. Kuwepo kwa wasichana ambao wanaacha shule kwa
sababu ya kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi ,hii inatokana na wasichana wengi
kukosa elimu ya kujitambua na kufanya maamuzi sahihi hasa pale anapokutana na
vishawishi
2. Kuongezeka kwa idadi ya wasichana wanaopata
mimba wakiwa shule, .
3. Wasichana kukosa elimu ya ujinsia kabla na
baada ya kuvunja ungo.
4. kuongezeka kwa
watoto wa kike wanaopoteza maisha ya kushindwa kujifungua kutokana na umri
mdogo.
5. Vitendo vya
ukatilii dhidi ya wanawake katika ngazi za familia na jamii
6. kukosekana kwa
usawa katika ya mwanamke na mwanamme katika fursa za ajira na kazi,
7. kuongezeka kwa
watoto wa mitaani kwa sababu ya mimba za utoni ambapo wazazi hushindwa kuwalea
watoto kutokana na uwezo wa kifedha n ahali ya umaskini.
WADAU
WAKUU WA KAMPENI/MRADI
a) Viongozi wa YOPOCODE
b) Mabalozi wa kampeni ya
BINTI AMKA
c) Wataalamu na watafiti
washauri wa mradi
d) Mkuu wa mkoa wa Mkoa
husika
e) Wakuu na
wakurugenzi wa wilaya ( kwa sasa mkuu wa
wilaya ya mbeya)
f) Maafisa elimu wa mkoa na
wilya
g) Maafisa maendeleo mkoa
na wilaya
h) Maafisa ustawi mkoa na
wilaya
i)
Maofisa na waratibu kata na mitaa wote katika
maeneo husika
j)
Viongozi wa dini na siasa
k) Wakuu wa shule za
misingi na sekondari
l)
Wanafunzi kwa shule ya msingi kuanzia Darasa la
tano hadi la saba
m) Wanafunzi wa sekondari
kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
NAMNA
YA KUFIKISHA UJUMBE WA KAMPENI
ili
kuhakikisha ujumbe wa kampeni unaifikia jamii ya Tanzania na walengwa tutatumia
vyombo vya habari kama ifuatavyo;
a) Mitandao ya kijamii kama
facebook, whatsapp na blogs
b) Radio naTelevision kwa
matangazo na mahojiano
c) Vipeperushi na mabango
d) Magazeti na majarida
e) Mbao za matangazo za
mashuleni
i) Aidha tutaanzisha klabu za wasichana mashuleni zenye lengo la
kuwafanya wapate mwamko wa kujadili kwa pamoja changamoto zao kupitia midahalo
na mijadala yao.
ii) mashindano ya mpira wa pete na miguu kwa timu za wanawake.
iii) michezo na burudani zitakazowafanya wakutane
na kujenga urafiki miongoni mwao
BINTI AMKA TANZANIA
ni
kampeni mahususi inayolenga kumsaidia mtoto wa kike Tanzania kufikia malengo
yake kielimu, kiuchumi na kisiasa. Kampeni hii imeasisiwa na viongozi wakuu wa
shirika la vijana Tanzania YOPOCODE lenye makao makuu mkoani Mbeya na Matawi yake mikoa mbalimbali ikiwemo Singida,
Njombe na Dar es salaam. Kama timu waliibuka na wazo la kumkombowa mtoto wa
kike Tanzania baada ya kubaini kwamba watoto wa kike wanapitia changamoto
nyingi sana wakati wa kupigana kufikia malengo yao. BINTI AMKA ni jina rasmi la
kampeni yetu BINTI AMKA TANZANIA.
BALOZI
WA BINTI AMKA TANZANIA
Ø
Balozi wa kampeni ya Binti Amka ni mtu yoyote aliyekubali na kuwa tayari
kusimama kidete kuhakikisha mtoto wa kike Tanzania anafikia malengo yake
kielimu, kiuchumi, kisiasa. Wajibu wa balozi wa BINTI AMKA nchini Tanzania ni
pamoja na;
Ø
kukubali kuwa sehemu ya watu
waliojitowa kusaidia watoto wa kike.
Ø
Pili, kukubali kufanya kazi
na shirika letu kupitia kampeni hii.
Ø
Tatu,kuwajibika kusema uzuri
wa kampeni kwa namna yoyote bila kuogopa.
Ø
Nne, kushiriki mikutano yote
ya mabalozi wakuu bila kubaguliwa.
Ø
Tano, kukubali kutoa mchango
wake wa hali na mali kufanikisha kampeni yetu.
Ø
Pia kuingia mahali popote na
kusema ukweli kuhusu hali ya mtoto wa kike Tanzania, tena anapaswa kufanya
utafiti na ripoti mbalimbali kuhusu hali ya mtoto wakike Tanzania,
Ø Na mwisho anapaswa kuunda vikundi
mbalimbali vinavyolenga kumsaidia mtoto wa kike Tanzania.
MABALOZI
WA KAMPENI YA BINTI AMKA NCHINI TANZANIA
NA
|
MAJINA KAMILI
|
PICHA
|
1
|
ALFRED SOSTERN MWAHALENDE,
NI BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA MKOA WA DAR NA MBEYA, MAWASILIANO:0758051641
|
|
2
|
MOSES MSAI,
MKURUGENZI MTENDAJI WA YOPOCODE MKOA WA SINGIDA .O754270906
|
|
3
|
MADAM. BEATRICE
JOSEPH MAMSERY NI BALOZI WA KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA KANDA YA DAR ES
SALAAM NA PWANI NA PIA
MKURUGENZI TAWI LA
YOPOCODE DAR NA PWANI, ANAPATIKANA KWA;
P.O BOX 78409 DSM
LUFUNGIRA/SAM
NUJOMA ROAD KINONDONI.
DAR ES SALAAM AND
COASTAL REGION
Email:beajoseph05@gmail.com
Mobile: +25576865310/0718471872
|
|
4
|
SAMIRA BADRU
MWIMBO. BALOZI BINTI AMKA TANZANIA KANDA YA DAR NA PWANI. NI MMOJA WA
WANAKAMATI KATIKA KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO KWENYE KAMPENI HII YA BINTI
AMKA. MWANZILISHI WA SASHA VOLUNTEERS FOUNDATION. BIOLOGIST (BSC IN BIOLOGY),
MWALIMU, MAMA 0713097337 AU 0789436841...
instagram (aliyshasasha26122014) snapchat (Aliysha Sasha) sina facebook
account
|
|
5
|
SALOME KASEKELE NI
BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA NIPO MKOA WA MWANZA NA SIMIYU.
|
|
6
|
JOANITA
J. NTINABO, NI BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA MKOA WA MWANZA NA DAR
|
|
GETRUDE JACOB
JAMES...NI BALOZI WA BINTI AMKA..DAR (0672454109)
|
||
7
|
ANJESTA
NATHANAEL...0757125576,,, DAR
|
|
8
|
IRENE LOSSIRU NI
BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA MKOA WA ARUSHA. 0754565771
|
|
CARYN KHAN,
BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA FROM DAR ; MAWASILIANO 0679373870;
carynkhan200@gmail .com
|
||
9
|
JANEROSA MAFWIMBO
YOPOCODE LEADER
&BINTI AMKA AMBASSADOR... LIVING IN KIMARA DAR
FACEBOOK: Janerose
Mafwimbo
Instagram:
generose-nyanjula
|
|
10
|
NAITWA ASHA ALFRED
KASILILWA NI MKURUGENZI NA MMILIKI WA KAMPUNI YA ATASHA PIA NI BALOZI WA
*BINTI AMKA TANZANIA*MKOA WA DAR
......0656-566474 atashainvestment@gmail.com
|
|
11
|
NAITWA HURUMA
JOSEPH N BALOZI WA BINTI AMKA DAR,,0715079088
|
|
12
|
NAITWA JANETH
MSELEMU, NAISHI DAR...NI BALOZI WA BINTI AMKA.KAMPENI HII NITAIFANYIA
MKOA WA LINDI
|
|
13
|
NAHELI TITO,, NI
BALOZI WA BINTI AMKA DAR-ES-SALAAM
|
|
14
|
GRACE ANDERSON
MONITORING AND EVALUATION OFFICER IN MOSHI MUNICIPAL COUNCIL
|
|
15
|
JOHNSON STEVEN NI
MWANAFUNZI KUTOKA SUA MWAKA WA MWISHO NI MWENYEJI WA MKOA WA MBEYA
WILAYA YA KYELA.
|
|
16
|
NKINDA SHADA
JOSEPH, NIKO SHINYANGA, PROJECTS PROGRAMMING SPECIALIST
+255763431942
FACEBOOK; Nkinda
Joseph
Instagram: nkinda
joseph
Twitter : Nkinda
Joseph
|
|
17
|
MINZA SALUM. NI BALOZI WA BINTI AMKA
TANZANIA, KANDA YA DAR NA PWANI; Mawasiliano; 0654348082;
Email;minzasalum17@gmail.com
|
|
18
|
JOHARI MGATA,BALOZ
WA DAR & MORO ,BINTI AMKA TANZANIA
Mawasiliano
-0653660340
|
|
19
|
HILDER GASPER....
BALOZI, BINTI AMKA DAR. PHONE NO 0673750421, 0767385849; mmarihilder@gmail.com;
Instag;
hildergasper_tz
|
|
20
|
MAJULA EDWARD ZACHARIA. KWA FANI NI
MWALIMU, MWELEDI KATIKA MASOMO YA KISWAHILI NA HISTORIA KWA NGAZI YA
SEKONDARI. NI MJASIRIAMALI PIA WA BIDHAA ZA VYAKULA AMBAZO ZIKO KATIKA
MAKUNDI MATANO. *1. NAFAKA AINA MBALIMBALI. 2. MBOGA AINA MBALIMBALI, 3.
VINYWAJI AINA MBALIMBALI, 4. MATUNDA AINA MBALIMBALI 5. VIUNGO VYA VYAKULA
AINA MBALI* KUPITIA TAASISI YA JATU PLC(JENGA AFYA TOKOMEZA UMASKINI). NI
WAKALA WA JATU PLC NA SHUGHULI HIZO NAZIFANYIA KIGAMBONI - DAR. NI BALOZI WA
KAMPENI YA BINTI AMKA TANZANIA KATIKA MIKOA YA DAR NA MBEYA. MAWASILIANO:
*0754496398, 0687744354, 0713*
Barua pepe: majulaedward@rocketmail.com, edwardmajula@gmail.com*Facebook: *Majula Edward Zacharia*
WhatsApp: *0687744354*
|
|
21
|
JASMIN
GODFREY. BALOZI KUTOKA MKOA WAS KILIMANJARO. PIA NI MKURUGENZI WA
DECY LIFE ORGANIZATION. 0764303410
|
|
22
|
NAITWA JULIET NI
BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA MKOA WA MOROGORO NA DAR
|
|
23
|
BABY BRIGHTON, NI
BALOZI WA BINTI AMKA: DAR ES SALAAM
|
|
24
|
ALODIA LEONIDAS.
MKOA WA MWANZA
|
|
25
|
HAPPYNESS EMMANUEL
NAISHI MKOWA WA DAR ES SALAAM NI AFISA MAWASILIANO WA DAR PWANI
KATIKA KAMPENI YETU YA BINTI AMKA TANZANIA NA YOPOCODE NAWAPENDA
|
|
26
|
ELINAH W MCHAKI,
AM NURSE BY PROFFESIONAL, NAPATIKANA DSM BUNJU A' NI BALOZI WA BINTI
AMKA TANZANIA , CONTACT 0715651117/ 0745971151
|
|
27
|
MARIAM YATERY,
BALOZI WA BINTI AMKA
MOROGORO
EMAIL: mymayatery8@gmail.com.
phone number :
0717390877
|
|
28
|
OTILIA MTITU, NI
BALOZI WA BINTI AMKA DAR ES SALAAM.
Facebook Otilia
Mtitu
Instagram
otiliamtitu_
email: otiliamtitu04@gmail.com
|
|
29
|
SALOME J.
MISHISHI, NI BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA KANDA YA DAR ES SALAAM NA PWANI,
MAWASILIANO: salomemishishi@gmail,
0675592521Facebook:
Salome james
|
|
30
|
GLORIA PETER BALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA
MKOA WA ARUSHA&MOROGORO #0679001501
|
|
31
|
SUZAN BARNABAS-DSM
EMAIL suzanjacob702@gmail.com
|
|
32
|
ESTER NESTORY.....BALOZI BINTI AMKA DAR NA
PWANI 0657656034
|
|
33
|
HOSSIANA MALLE. KILIMANJARO 0621067033
|
|
34
|
||
35
|
NAITWA SENGY STEVEN KACHENKE. MEMBER RED
CROSS TANZANIA. MENEJA MASOKO WA INFO TECH COMPANY NA SALES ASSOCIATE THE
GUARDIAN LTD. BALOZI BINTI AMKA TANZANIA.
|
|
36
|
BEATRICE PASCHAL..BALOZ WA KAMPENI YA BINTI AMKA
TANZANIA KANDA YA MWANZA.. 0764998454
|
|
37
|
NESTINA MWILE PAKANI NI BALOZI WA KAMPENI YA
BINTI AMKA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI MBEYA’ MAWASILIANO NI 0756980480
|
Comments
Post a Comment