UNGANA NA SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOCODE, KATIKA KAMPENI YETU YA BINTI JITAMBUE TANZANIA, YENYE LENGO LA KUWASAIDIA WATOTO WA KIKE KUFIKIA MALENGO YAO KIELIMU NA KIUCHUMI ✅ Kwa mujibu wa shirika la watoto duniani la UNICEF k umekuwa na ongezeko la mimba mashuleni kutoka asilimia 23 hadi 26 yaani takribani watoto wa kike 8000 hapa Tanzania kila mwaka hukatisha masomo kwa ajili ya ujauzito na ndoa za utotoni amabazo kwa kiasi kikubwa huathiri ndoto za watoto wa kike kuf ikia malengo yao kielimu na kiuchumi. ✅ Vilevile idadi ya watoto wa kike ambao wamekuwa wakimaliza elimu ya msingi lakini kutopewa nafasi ya kujiendeleza kielimu hata pale wanapokuwa wamechanguliwa kujiunga sekondari nayo pia imekuwa ikiongezeka na badala yake mabinti hawa wamekuwa wakilazimika kuingia katika ndoa KWA umri mdogo na hatimaye kushindwa kufikia malengo yao kielimu na kiuchumi. ✅ kushuhudia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kingono kama ubakaji na ulawiti kwa watoto wa k...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.