BARUA YA MWALIKO KATIKA UZINDUZI RASIMI WA SHIRIKA LA VIJANA LA YOPOCODE
Ndugu/Mheshimiwa/ Daktari/Profesa/ Mr na Mrs............................
Kwa heshima ya pekee, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la vijana Tanzania la YOPOCODE anakualika katika uzinduzi rasimi wa shirika tajwa lenye namba za usajili ooNGO/0009193.

Uzinduzi utafanyikia yalipo Makao makuu ya YOPOCODE mtaa wa mazigula, kata ya Ilembo katika Halmashauri ya Mbeya vijijini tarehe 08/08/2017 kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane za mchana.
Uzinduzi utaenda sambamba na shughuli mbalimbali ikiwemo na harambee maalumu ya kuchangia fedha kwa ajili ya kuimarisha shughuli za shirika na kuwa mkombozi kwa vijana kwa Mkoa wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla wake.




KARIBUNI SANA
Ni kweli kabisa mungu atupe nguvu ile sisi vijana tuwe chachu ya taifa na tutambue uzalendo wetu
ReplyDeleteNi kweli kabisa mungu atupe nguvu ile sisi vijana tuwe chachu ya taifa na tutambue uzalendo wetu
ReplyDeleteNashukuru Sana nilichokua sijui sasa nimepata kufahamu kuusu kijana Asante Sana mwalimu
ReplyDelete