MRADI WA
KUANDIKA KITABU CHA
”DIRA YA KIJANA TANZANIA”
Ø Huu ni mradi wa kwanza Tanzania unaowakutanisha waandishi vijana wanatoka
katika kada
mbalimbali na wenye fani tofauti tofauti, kuandika kitabu kitakachokuwa mkombozi
Kwa taifa letu na vijana wetu, kitabu hikii pekee kitachambua mambo mbalimbali
yanayolenga kuwainua vijana kiuchumi na kuwasaidia vijana kujiingiza katika
ujasiriamali NA Kujiajiri binafsi, aidha kitabu hiki kitaeleza kwa kina changamoto
zinzowakabili vijana kama vile ukosefu wa ajira, umaskini, ndoa na mahusiano na
kuonyesha suluhu kwa changamoto hiizo. Hali kadhalika kitabu hiki kitabainisha
mifano mbalimbali ya vijana waliofanikiwa kimaisha angali wakiwa vijana.
Ø Tumeamua kuwagusa vijana kwa kuwa tunatambua vema kuwa vijana wanapita
katika chanagamoto nyingi sana katika kipindi hiki cha mabadiliko makubwa
kiuchumi na kiteknolojia,hivyo sisi kama shiriki la YOUTH POTENTIALS FOR
COMMUNITY DEVELOPMENT ( YOPOCODE) tumeona hii ni fursa kuwaandikia vijana
kitabu kitakacholenga kubadilisha mitazamo yao .
YALIYOMO NA WAANDISHI WAKE
1.
KIJANA NI NANI?
( MWANDISHI NI JANEROSA MAFWIMBO)
2. UJANA NI NINI?
(
MWANDISHI NI JANEROSA MAFWIMBO)
3. SIFA NA WAJIBU WA KIJANA
(
MWANDISHI NI HELLEN STEPHEN)
4. NAFASI YA KIJANA KATIKA MAENDELEO YA JAMII
( MWANDISHI NI RAYMOND MGENI)
5 THAMANI YA KIJANA ( NA DEOGRATIUS KESSY) 6. KIJANA NA VIPAWA/KIPAJI AU KARAMA ( ADABERT CHENCE)
7. FURSA ZILIZOPO TANZANIA VIJANA KUJIWEKEZA
(
MWANDISHI NI INNOCENT LAIZER)
8
KIJANA NA TECHNOLOJIA ( MWANDISHI
NI MOHAMMED)
9.
JE, KIJANA NI TAIFA LA LEO AU KESHO?
(
MWANDISHI NI ALFRED MWAHALENDE)
10.
KIJANA NA ELIMU ( MR DANIEL SAMSON)
11 .NDOA NA MAHUSIANO ( MWADISHI NI MUSSA KISOMA)
12.
KIJANA NA KILIMO NA UFUGAJI ( NICOLOUS ZINGO)
13.
MIFANO NA HISTORIA YA VIJANA/VIJANA
WALIOWAHI KUFANYA VIZURI
( MWANDISHI NI HABEL SAMIDA)
14
BIASHARA, UJASIRIAMALI NA MWANDISHI NI JOAS YUNUS (JYB)
16. MAKUNDI YA
UJASIRIAMALI KWA VIJANA
( MWANDISHI NI FELBERT NYONI)
17.
CHANGAMOTO ZINZOWAKWAMISHA VIJANA KATIKA
KUFIKIA NDOTO ZAO
(
MWANDISHI NI JACOB MUSHI)
18.
MIPANGO NA MIKAKATI YA TANZANIA MPYA
YA VIJANA.
(
MWANDISHI NI LAZARO SAMWEL)
|
Comments
Post a Comment