SEHUMU YA TANO Habari Rafiki mfuatiliaji wa makala za Napenda Kufuga kuku karibu sana tuweze kujifunza pamoja mambo mazuri kuhusu ufugaji, lengo la makala hizi za napenda Kufuga kuku nikukupa Elimu sahihi kuhusu ufugaji wa kuku na faida na masoko ya mazao ya ufugaji karibu sana, MBINU ZA MASOKO KWA WAFUGAJI Habari Rafiki, Leo nimependa kuzungumzia swala la masoko ya mazao ya ufugaji kama unavyojuwa tunafuga na mwisho wa siku lazima tuingize mazao yetu sokoni, kumekuwa na changamoto kubwa kwa wafugaji wengi katika kupeleka mazao yao ya mifugo sokoni, wengi wananipigia simu wananiambia wanamazao ya mifugo lakini hawajuwi wapi watauza kuku wao wengine wananiambia wanamayai hawajuwi watawauzia wapi hii imekuwa changamoto kubwa kwa wafugaji wengi, Leo nimeona nije na mbinu au kanuni ambayo inanisaidia Mimi na huwa inawasaidia watu wengi pia katika kufanya biashara zao za kuku na mawayi na wamekuwa wanafurahi sana kwasababu soko ni kubwa na mafanikio ni makubwa, wewe ...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.