Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2017

NAPENDA KUFUGA KUKU SEHUMU YA TANO

SEHUMU YA TANO Habari Rafiki mfuatiliaji wa makala za Napenda Kufuga kuku karibu sana tuweze kujifunza pamoja mambo mazuri kuhusu ufugaji, lengo la makala hizi za napenda Kufuga kuku nikukupa Elimu sahihi kuhusu ufugaji wa kuku na faida na masoko ya mazao ya ufugaji karibu sana, MBINU ZA MASOKO KWA WAFUGAJI  Habari  Rafiki, Leo nimependa kuzungumzia swala la masoko ya mazao ya ufugaji kama unavyojuwa tunafuga na mwisho wa siku lazima tuingize mazao yetu sokoni, kumekuwa na changamoto kubwa kwa wafugaji wengi katika kupeleka mazao yao ya mifugo sokoni, wengi wananipigia simu wananiambia wanamazao ya mifugo lakini hawajuwi wapi watauza kuku wao wengine wananiambia wanamayai hawajuwi watawauzia wapi hii imekuwa changamoto kubwa kwa wafugaji wengi, Leo nimeona nije na mbinu au kanuni ambayo inanisaidia Mimi na huwa inawasaidia watu wengi pia katika kufanya biashara zao za kuku na mawayi na wamekuwa wanafurahi sana kwasababu soko ni kubwa na mafanikio ni makubwa, wewe ...

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA TATU

*NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA TATU Habari rafiki na mfuatiliaji wa makala hizi za *napenda kufuga KUKU* karibu sana tujifunze zaidi Yale mambo mahimu yatakayotusaida katika ufugaji bora wa KUKU, AINA ZA KUKU NA FAIDA ZAKE Kuna AINA mbalimbali za KUKU ambazo mfugaji anaweza kufuga na kila AINA inategemeana na malengo ya mtu husika anayetaka kufanya shuughuri hii ya ufugaji, hivyo Leo nimekuletea  makundi makuu manne ya KUKU ambayo tunayafuga hapa Tanzania ✍ KUKU WA NYAMA   hii ni moja ya kundi la KUKU ambalo linafugwa sana hapa nchini na kuku hawa wanafugwa kwa malengo ya kuzalisha nyama tu,   Uzalishaji wa KUKU hawa wanachukuliwa KUKU wazazi kutoka nje ya nchi na kuhifadhiwa sehemu maalumu kwaajiri ya kuzalisha Mayai na Mayai yanatotoreshwa na kupata Vifaranga kwaajiri ya nyama , FAIDA YA KUKU HAWA Faida ambayo utaipata kama mfugaji nikuwa KUKU hawa hufugwa kwa mda mchacheche mda wa miezi miwili au mitatu na kuuzwa kwaajiri ya matumizi ya nyama, hivyo ni...

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA PILI

NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA PILI Habari za Asubuhi rafiki, Karibu sana katika kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu ufugaji bora wa kuku, lengo KUU la makala haya kukupa Elimu iliyosahihi kuhusu ufugaji , Na mambo yote ninayoyaandika yanatoka kwenye uzoefu wangu mwenyewe katika ufugaji karibu sana. MAMBO MUHIMU YAKUYAJUWA KABLA YA KUINGIA KWENYE UFUGAJI: Moja ya changamoto kubwa kwa watu wengi tunajiwekea malengo makubwa kila mwaka kwamba nataka kufanya kile na kile ndani ya mwaka huu lakini kila siku bado unashindwa kuanza hii inatokana na changamoto mbalimbali za hapa na pale lakini sababu kubwa ni kokosa hamasa yandani juu ya kile tulichokiwekea malengo na hii inapelekea kila mwaka kuwa na malengo yaleyale bila kupiga hatua na kwenye upande wa ufugaji mambo ni hayo hayo kila siku natama kufuga natamani kufuga huku tukiendea kuimba wimbo usiokuwa na vitendo, nini ninachotaka kukwambia rafiki Asubuhi hii ya Leo  unahitaji kuchukua hatua chukua hatua sasa nasiyo kusubil...

*NAPENDA KUFUGA KUKU*

*NAPENDA KUFUGA KUKU*                                         Habari rafiki, karibu katika makala ya siku hii ya Leo makala ambayo itakuwa inakufikia mala kwa mala kwalengo la kukupa elimu bora ya ufugaji wa kuku kutoka hatua yakwanza hadi ya mwisho karibu sana         KWANINI UFUGAJI WA KUKU.                                  Ufugaji wa kuku ni secta ambayo inakuwa kwa kasi sana hapa nchini nasasa imekuwa ni sehemu ya ajira kwa watu wengi, ufugaji kwasasa umekuwa ukifanya vizuri sana kwakuwa na soko nzuri kwa ndani ya nchi yetu na hata nje ya nchi, Ufugaji umekuwa sehemu nzuri ya ajira kwa watu wengi na ime...