Skip to main content

Posts

Showing posts from December, 2016

SALAMU

NDUGU ZANGU NA WADAU WAKUU WA MAENDELEO YA VIJANA TANZANIA, NINAPENDA KUWASHUKURU SANA KWA USHIRIKI WENU KATIKA MADA NA SOMO LINALOENDELEA KWENYE KUNDI LETU LA WHATSAPP GROUP LA TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT  KUHUSU " DIRA YA MAISHA YA MAISHA YA KIJANA KARNE YA 21... KATIKA SOMO HILI LIMEGAWANYIKA KATIKA SEHEMU KUU ZIFUATAZO 1) KIJANA NI NANI??? 2) NAFASI YA KIJANA KATIKA MAENDELEO 3) KIJANA NA UCHUMI 4) KIJANA NA BIASHARA 5) FURSA ALIZONAZO KIJANA KATIKA KUJIPATIA MAENDELEO 6) CHANGAMOTO ZINZOMKABILI KIJANA KATIKA MAISHA 7) MIFANO YA VIJANA WALIOWAHI KUFANYA VIZURI KATIKA KIPINDI CHAO CHA UJANA 8)KIJANA NA KILIMO NA UFUGAJI 9) DIRA YA MAISHA YA KIJANA KUELEKEA TANZANIA YA VIWANDA...... KARIBUNI SANA KWA MAONI NA USHAURI. ....................................... FACEBOOK; TANZANIA YOUTH TALENT ASSOCIATION WHATSAPP; TANZANIA YOUTH DEVELOPMENTS PHONE NO; 0758051641 BLOGSPOT; tanzaniayouthdevelopments.blogspot.com

VIJANA NA UCHUMI

                                          VIJANA NA UCHUMI Vijana,vijana,vijanaaaaaaa ndio imekua mada moto sana katika vichwa vya watu wengi sana hapa Tanzania na Duniani kwa ujumla.Lakini imekua tofauti miongoni mwao kwani wapo baadhi waliojitambua ya kuwa wao ni vijana na wanatakiwa wafanye nini,ila wapo ambao wametambua wao ni vijana na wameshindwa kujua wafanye nini,wengine kwa makusudi kabisa na kubaki kuwalalamikia wazazi na serikali kwa ujumla ya kuwa wamewatenga. Je,kijana ni nani?ni mtu ambaye yupo kati ya miaka 15 mpaka 35,kwa mujibu wa malengo ya maendeleo endelevu toka umoja wa mataifa,wanasema karibia nusu ya idadi ya watu duniani wapo chini ya miaka 25,manake vijana tunaendelea kuwa wengi duniani. Lakini hiyo haitoshi,90% ya watu ambao wapo chini ya miaka 25 wanatoka kwenye nchi zinazoendelea na Tanzania tukiwa miongoni mwao.pia zaidi ya 67% ya watanzania wote...

UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI

TANZANIA YOUTH AND CHILDREN DEVELOPMENT ORGANIZATION UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI SEHEMU YA KWANZA UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya katika zoezi zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimeamua kuuleta kwenu Wana group ili kwa mtu mwenye malengo ya kufanikiwa kupitia ufugaji wa kuku ajue mlolongo mzima na changamoto ambazo atakabiliana nazo. A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4. Nyama na mayai yake vina ladha nzuri kuliko kuku wa kisasa.(PATA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ILI UTHIBITISHE) 5. Wana uwezo wa kujilinda na m...

KIJANA NI NANI??

DIRA YA MAISHA YA KIJANA Kijana ni nani? Ø   Neno kijana linatafsiriwa katika tafsiri tofauti katika kila jamii, Mathalan nchini Tanzania kijana ni mtu mwenye umri wa kati ya miaka 18 hadi 35, yaani baada ya balehe. Mabadiliko makubwa ya kimaumbile hutokea sambamba na kukomaa kwa mawazo. Ø   Aidha Kwa mujibu wa sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana ya mwaka 1996 na kufanyiwa marekebisho mwaka 2007, kijana ni mtu mwenye umri kuanzia miaka 15 hadi 24. Ø   Hali kadhalika Kwa tafsiri ya umoja wa mataifa, Kijana ni mwanamke au mwanamme aliye na umri kati ya miaka 15 hadi 24. Tafsiri hii hutofatiana kutoka nchi moja hadi nchi nyingine. Nchi au maeneo mengine ya dunia huwa na tafsiri tofauti kulingana na mahitaji ya mazingira na maeneo yao, na pengine kwa mujibu wa mifumo ya kijamii,kisiasa na kisheria katika nchi hizo. Ø   Ni kipindi cha mpito kutoka utoto kuelekea uzee.Ni kipindi chenye heka heka nyingi kwa vijana kutokana na mabadiliko ya kimaumbile, kwani...

TAYOTA PROFILE

Tanzania Youth Talent Association (TAYOTA) The Head Office of the Organization will be situated at ILEMBO MADUKANI Area in MBEYA RURAL DISTRICT, in the United Republic of Tanzania. 1.     MISSION Our mission is to provide integral social and developmental activities to youth members within a reachable, safe, sound, and trustworthy environment. 2.     VISION Our vision for Tanzania Youth Talent A ssociation (TAYOTA) is one of a warm place where youth’s acquires the knowledge, attitudes, and behaviors to become independent adults capable of realizing their full potential and participating actively in their communities through their talents. 3.  PROGRAM The programs of Tanzania Youth Talent Association (TAYOTA) are founded on voluntary participation in activities structured to maximize the opportunity for young people to engage in terms of their unique development capacities and needs. Every program operates within a framework design...