SEMINA YA MAFUNZO KWA MABALOZI WA BINTI AMKA TANZANIA SOMO: MAADILI YA KUFANYA UTAFITI MKUFUNZI NI: Basiliana Emidi, PhD Yaliyomo 1. Muingiliano wa kimaadili na washiriki wa utafiti u Wajibu wa mkusanyaji taarifa u Umuhimu wa Heshima u Ushiriki wa hiari u Ridhaa ya kushiriki katika utafiti u Watu waliokaribĂș kuathirika na masuala yafanyiwayo utafiti u Faragha binafsi u Kuhifadhi kwa usalama taarifa binafsi u Kujibu maswali ya washiriki } 2. Usahihi wa taarifa za utafiti Kuheshimu sayansi ya utafiti Kukusanya, kunakili/kuandika na kuhifadhi taarifa Ukiukaji wa mwongozo wa utafiti Maadili ni nini? } Maadili ni kanuni adilifu zinazoelekeza tabia zetu katika mahusiano yetu ya kila siku na wenzetu. } Katika utafiti, ma...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.