UFUGAJI BORA WA KUKU WA KIENYEJI SEHEMU YA KWANZA IMEDHANIWA NA YOPOCODE KWA KUSHIRIKIANA NA TAMASHA LA NANENANE 2017 UTANGULIZI Napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambaye ameniwezesha kwa namna moja au nyingine kutoa mchango wangu kwa mtindo huu. Huu ni kama mwongozo tu wa nini utakabiliana nacho au unatakiwa kufanya katika zoezi zima la ufugaji wa kuku wa kienyeji. Nimeamua kuuleta kwenu ili kwa mtu mwenye malengo ya kufanikiwa kupitia ufugaji wa kuku ajue mlolongo mzima na changamoto ambazo atakabiliana nazo. A.KWA NINI KUKU WA KIENYEJI? 1. Wastahimilivu wa magonjwa lakini ni muhimu wakikingwa na magonjwa ya kuku kama mdondo, ndui ya kuku n.k ili kuweza kuwaendeleza. 2. Wana uwezo wa kujitafutia chakula ardhini. 3. Wana uwezo wa kuatamia mayai, kutotoa na kulea vifaranga na ustahimilivu wa mazingira magumu kama ukame, baridi n.k 4.Nyama na mayai yake vina ladha nzuri kuliko kuku wa kisasa.(PATA SUPU YA KUKU WA KIENYEJI ILI UTHIBITISHE) 5. Wana uwezo ...
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.