Skip to main content

Posts

Showing posts from February, 2018

Frank Mapunda: *NAPENDA KUFUGA KUKU*

Frank Mapunda: *NAPENDA KUFUGA KUKU* SEHEMU YA NANE Habari rafiki msomaji wa Makala hizi nzuri za ufugaji bora wa kuku, Leo nitakuwa na somo muhimu sana katika ufugaji wa kuku, nasema muhimu sana kwasababu usipozingatia katika hatua hii ni rahisi sana kupata hasara kubwa katika ufugaji wako Na kuona ufugaji wa kuku hauna faida na niwahasara sana, hivyo rafiki kama toka sehemu ya kwanza haukuwa makini kufatilia kwa makini masomo haya basi Leo weka umakini wako Mkubwa katika somo hili la leo, UTUNZAJI WA VIFARANGA NA CHANJO MUHIMU KWA KUKU WAKO Wafugaji wengi tunapoanza Kufuga huwa hatuna elimu sahihi juu ya ufugaji na kusababisha hasara kubwa sana katika ufugaji, changamoto kubwa inasababiswa na sisi wenyewe wafugaji kwa kutotafuta elimu sahihi ya ufugaji wa kuku, kubwa zaidi hata watu wanaotushauri ufugaji huu huwa hawatuambii kanuni bora za ufugaji na kinachufanyika ni kuangaika kutibu kuku baada ya kuingia magonjwa na hii inatusababishia...