Skip to main content

Posts

Showing posts from August, 2017

KUMBUKUMBU YOPOCODE EVENTS

matukio na picha katika shughuli za kijamii na shirika la vijana Tanzania la YOPOCODE TANZANIA

VIKUNDI VYA NGOMA ZA ASILI- LINDI

VIKUNDI VYA NGOMA YA ASILI MKOA WA LINDI KWENYE KAMPENI YA LISHE YA MAMA NA MTOTO 2016

WALAKA WA AMINA SANGA

MWANDISHI, AMINA SANGA. Moja kati ya kosa ambalo watu wengi wanafanya/ walishawahi kuyafanya ni kutaka KUELEWEKA. Wengi wetu tumejikuta tunachelewa kufanya / kutimiza ndoto, mipango, vitu tunavyovitamani kwasababu ya kutaka kueleweka. Unataka kila mtu akuelewe Kwamba una mipango mikubwa, Kila mtu a appreciate, halafu inakuja kuwa kinyume na hivyo na unaishia kukata tamaa, kwasababu unataka tu ueleweke. IPO HIVI, binadamu wengi huwa hawaelewi MCHAKATO. , ukiwa kwenye mchakato si rahisi wat u kukuelewa, watu wanaelewa zaidi MATOKEO, na si ajabu yuleyule aliyekukatisha Tamaa akawa wa Kwanza kushangilia MATOKEO. Lakini pia, sio kila unachokifanya watu wajue( keep them under low profile) Kwa usalama wako. Don't post everything, don't speak everything. Don't let them predict your future. Ukitaka kueleweka utajikuta unaishia hapohapo ulipo. Work hard in silence let success make noise (quoted) Usimuamini kila mtu, usimuweke karibu kila mtu. Kuna vitu kaa navyo mwenye...

YOPOCODE TRAINING CENTER

PRE FORM ONE 2017/2018 S hirika la vijana Tanzania la ” YOPOCODE)” linakuletea KOZI maalumu kwa vijana wahitimu darasa la saba 2017 ( PRE FORM ONE ). KOZI hii MAALUMU KWA wahitimu darasa la saba 2017 kwa masomo ya sekondari na kuwajengea uwezo KUYAMUDU MASOMO YA SEKONDARI.KOZI itaanza 10/09/2017 hadi 20/12/2017 . KOZI ITATOLEWA MANEO YAFUATAYO. na Jina la kituoa Mahali kilipo Tarehe ya kuanza mafunzo mchango 1 ilembo Ofisi za yopocode 10/09/2017 10,000/= kwa mwezi 2 isuto godauni 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi 3 santilya Majengo ya klasta 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi 4 iwiji SHULE YA MSINGI IWIJI 10/09/2017 10,000/=  kwa mwezi NB; KOZI ITAAMBATANA NA MAFUNZO MBALIMBALI IKIWEMO, MICHEZO NA BURUDANI, AFYA, SANAA NA UTAMADUNI, BIASHARA, UJASIRIAMALI NA KILIMO ILI KUWAJENGEA VIJANA HAMASA KWA VIJANA KUSHIRIKI SHUGHU...

VIKUNDI VYA UZALISHAJI MALI

https://yopocodetanzania.blogspot.com NAMNA YA KUENDESHA VIKUNDI VYA UJASIRIAMALI  POWERED BY YOPOCODE TANZANIA Vijana wenzangu popote mlipo Tanzania na duniani kote ,poleni kwa mahangaiko ya kuendelea kutafuta mkate na kutafuta njia ya kufafikai mafanikio makubwa kiuchumi na kimaendeleo. katika maandiko ya vitabu vya dini imeandikwa asiyefanya kazi na asile,na mwanaume atatafuta kwa jasho na mwanamke atazaa kwa uchungu,hii yote ni kudhi hi lisha kuwa ni lazima kila mtu afanye kazi kulingana na kipawa alichojaaaliwa na mwenyezi M ungu muumba wa mbingu na v yote vilivyopo katika uso wa duniani . Najua kila kijana ana namna anavyotafuta Ridhiki yake ilimradi tu inaku w a halali, wapo wanaofanya kazi mmoja mmoja, wapo walioaji r iwa serikalina, taasisi za serikali, taasisi na mashirika binafsi, lakini wapo ambao wameamua kujiaji r i wenyewe katika shughuli mbali mba li za kijasiariamali, wapo wakulima, wafanyabiashara, mmoja na hata walioamua kuunda vikundi...