TAMASHA LA NANENANE 2017 SHIRIKA LA VIJANA TANZANIA LA YOPOCODE LINAKULETEA TAMASHA LA NANENANE 2017 KATIKA VIWANJWA VYA SHULE YA MSINGI YA ILEMBO NA ILEMBO MADUKANI MBEYA VIJIJI KUANZIA 06/08/2017 HADI 08/08/2017 AMBAPO KWA TAREHE 08/08/2017 JIONI TUTAKUWA KATIKA UKUMBI WA GODAUNI LA ISUTO KUFANYA SHOO NA UZINDUZI WA NYIMBO MBALIMBALI ZILIZOFANYWA VIJANA WA UMALILA ALL STARS. SHUGHULI NA MICHEZO KATIKA TAMASHA NI; M PIRA WA MIGUU , NGOMA ZA ASILI BURUDANI YA MUZIKI WA BONGO FLEVA, DINI NA DANSI. KUPATA FOMU YA USHIRIKI PIGA SIMU 0758051641 AU 0765878956 AU FIKA OFISINI KWA HANDO STATIONERY ILEMBO MADUKANI.
OBJECTIVES OF YOPOCODE ORGANIZATION i. To promote education that empower Youth in realizing and utilizing potentials for community development. ii. To facilitate establishment of Youth economic groups iii. To support Youth involvement and participate in community development iv. To promote Reproductive health education to Youth and fight against HIV/AIDS endemic. v. To support policy and institutional change that stimulates Youth to engage in economic activities.