Skip to main content

Posts

Showing posts from June, 2017

BARUA YA MWALIKO

BARUA YA MWALIKO KATIKA UZINDUZI RASIMI WA SHIRIKA LA VIJANA LA YOPOCODE Ndugu/Mheshimiwa/ Daktari/Profesa/ Mr na Mrs............................ K wa heshima  ya pekee, Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la vijana Tanzania la YOPOCODE anakualika katika uzinduzi rasimi wa shirika tajwa lenye namba za usajili ooNGO/0009193. Uzinduzi utafanyikia yalipo Makao makuu ya YOPOCODE mtaa wa mazigula, kata ya Ilembo katika Halmashauri ya Mbeya vijijini tarehe 08/08/2017 kuanzia saa Tatu asubuhi hadi saa nane za mchana. Uzinduzi utaenda sambamba na shughuli mbalimbali ikiwemo na harambee maalumu ya kuchangia fedha kwa ajili ya kuimarisha shughuli za shirika na kuwa mkombozi kwa vijana kwa Mkoa wa Mbeya na Tanzania kwa ujumla wake. U SHIRIKI WAKO NI MUHIMU SANA KATIKA TUKIO HILI LA KIHISTORIA, TUNAOMBA UFIKE BILA KUKOSA. AIDHA WAWEZA KUTOA MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI KUFANIKISHA TUKIO HILI.  K AMATI YA MAANDALIZI  0 758051641 ALFRED MWAHALENDE   0768577408 INNOCENT L...